Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
Tunaomba utupe updates za jikoni...tuandae ubwaba au maboga
 
Tuambie hayo mambo yatakuwa ni lini na dalili za kutokea kwake yatakuwa ni lini?

Yule PK ni mtu wao hadi ameshazeeka anaendelea na life na anatumika nao

Kwenye Ujasusi Kuna kitu kinaitwa Mission Complete.

Ikifikia hatua hiyo when Mission is Complete basi jua au tambua huyo Muhusika aliyefanya hiyo Mission lazima wamuue ili kuficha ushahidi
 
Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
Asante sana kwa taarifa. Kama wamesalitiana basi ni vizuri wa mahakamani atakuwa salama. Ila ngoja wauwane kwanza na msoga soon tunakula ubwabwa wake
 
Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
Wa mahakamani atakua kwenye hati hati ya kumsindikiza Mr mume alietembea na Bwana hivi majuzi!!hukumu ya kunuongwa inaweza pitishwa kibabe!!

Hana cha kupoteza coz mambo yashaharibika Bora yawaharibikie wote!
 
Nipo wasalimie wote huko wakumbushe wananzengo kuwa, wasaliti wamesalitiana, kama nzengo itaendelea hivi ilivyo kazi wanayo

By the way nampa pole wa mahakamani, yajayo yanfurahisha🫶
The state ndivyo walivyo,Huwa wanapiga mzinga wa nyuki kwenye kikao chenu ili wote muumwee mchakae,mkisha chakaa ndio wanafanya Yao kama kumsukuma mlevi!

Vita vya makam wa urais na uwaziri mkuu Bado mbichi sana!!

Wengi wataanguka na elnino!
 
Kile kifo ilikuwa kafara au?
Kwa nini kuzikwa Fasta Fasta hakuna cha kuangwa ukumbi fulani wala viwanja fulani, utadhani alikufa raia wa rank ya chini,
Halafu sasa watu full kupishana kuhani msibani je kuna doano huko zimetengwa kimkakati?
Viti, magari wanayotumia kutokea airport au bandarini ni salama kiasi gani?
Target yao tutaona baada ya miezi 4.
Tuombe uhai.
Mfiwa hata sura ya moyo kuwa na huzuni hamna, kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Kwamba !!? spinning ya kujiuzulu nchimbi akijua upande wa pili una hasira ,kwahiyo ajitie huruma ahurumiwe plus mapicha picha ya watu kwenda kumtia faraja ili iwe mileage ya kisiasa!!?

Kwamba!!?the game was planned for spinning purposes!!?

Katika zama za kupotea potea na damu kumwagika mwagika na kuwekana vizuizini plus mbinyo wa haki kwa watu Fulani!nadharia yoyote itafanya kazi kivyovyote hususan kama majibu Fulani yamefichwa lazima watu wata waza nje ya boksi kama ufanyavyo!!

Nawaza na kuwazua !
 
Kwenye Ujasusi Kuna kitu kinaitwa Mission Complete.

Ikifikia hatua hiyo when Mission is Complete basi jua au tambua huyo Muhusika aliyefanya hiyo Mission lazima wamuue ili kuficha ushahidi
Ina maana kama mfiwa wa sasa alitumika kwenye elimination process ya awamu ya tano!!yeye na genge lake lote waliohusika wata be eliminated!!?

Aiseh,ongeza nyama!
 
Back
Top Bottom