Dark days 17/03/20

Dotto ni mpwa kwa Magufuli mtoto wa dada yake
Mkuu Dotto Biteko hana undugu wowote na magufuli, wala pia hawana ukaribu wowote, utakua unanichanganya Dotto biteko na Dotto James aliyekua katibu wa wizara
Huyu chini hapa ndio dada yake na magufuli anaitwa Monica magufuli, alifariki 2018


Huyu chini hapa ni mama yake na Dotto Biteko, anaitwa Elizabeth Biteko, alifariki 2020
 
Kwa hio Magufuli alikuwa na dada mmoja ?
 
Kaki ndio wakina nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…