Dark days 17/03/20

Mkuu huu ume copy na ku paste kutokea wapi?
Yaliyomo yanatisha.
 
Nchi inaenda kuwa kama DRC kisha Congo inaenda kuwa shwari,
Wanyonge sie tutaomba ukimbizi nchi gani?
 
Na pia Somalia ndio maana Wana msemo wao Wazungu kuwa "Somalia will never know peace until Jesus comes back"
Or "Tanganyika is peaceful coz DRC has war but the day DRC has peace then Tanganyika will have war".
Ninja, SMARTER GHOST, naogopa kulingana na comment hii,
Je kuna makundi yanataka kuhama kuchota mali Congo na kuhamia Tz kulingana na kilichotokea MO29 na kinachosubiriwa cha 9D?
 
Smartkahn ebu tupe madini zaidi kwenye hili mkuu.
 
ChawaWaMama mkuu ebu dandavua tupate madini juu ya hili
 
z12f
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…