Dark days 17/03/20

yoga uzi hauna kona kona umenyooka kama road za germany. vp kuhusu captain wamatumaini bado yuko live nakama yuko live kuna comeback yoyote na kuhusu bishop msema kwer naye vp
Ile kamats nilihis mlengwa ni bishop Tu ili apotezwe kabisa kama mr fast fast sasa kuwaachia hawa nahis pia ni picha la kichina ili ajipeleke awaze kjinga kwamba nitaachiwa hapo ndio itakuwa goodbye bishop.ila yule jamaa aba akili sana sidhsni kama atarnfa hvhv..
 
Huyu ni mwana mtandao yuko humu kuvunja watu mioyo… lakini safari hii sijui wataongra lugha gani kufuta hizi hasira na maumivu mioyoni mwetu!
 
Bishop hawezi kukosa taharifa ya vita zake nyingi huwa anashinda na hii atashinda nina kaa Usubiri Slow slow alisalitiwa na watu wake wa karibu nae alijua ameshachelewa unakumbuka usiku ule akapotea alisema kuna wazee wameshajiandaa kwa ajili ya kukaa kwa maridhiano ya kiina macho cha Uchaguzi akasema wazee tuwakatae naye amewakataa maana wamejivunjia heshima ya miaka yote hiyo ni kauli ya kwamba nimesalitiwa tayari Kakulwa amekua wa ovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…