Dark days 17/03/20

And the beat goes on....
 
Baada ya kusoma kwa utulivu post ya Yoga, reply anazotoa kwa baadhi ya maswali nakuunganisha dots na zile post za Brittanica, hii ndio conclusion yangu;

1. Kama maandamano yataendelea na wao wataendelea kuwaua bila kujali nani anakufa

2. Wahuni aliowasema Polepole wako serious na mpango wao kuliko watu wanavyodhani

3. Kosa limekwishafanyika na waliofanya kosa ni watu wa CCM na serikalini kwa kuwaacha hawa wahuni wajijenge kwenye kila idara nyeti na sasa walioko kule wote ni watu wao

4. Ili Taifa kutoka mikononi mwao labda wavurugane wao kwa wao au wafe wote (kitu ambacho ni kigumu kutokea)

5. Kinachoweza kufanyika ili tuishi kama zamani kwa amani na utulivi feki ni kile wamarekani wanasema "shut up and drive"! Nothing more
 
I still believe! Ipo siku! Ipo siku yaja! Ya sirini yatapofunuliwa, wapo wataotoroka nchi, wapo wataojipiga risasi, wapo wataoomba ardhi ufunuke iwameze.
Sisi raia tuishi maisha ya kawaida tusishindane na watu waliotayari kufanya lolote ila hao wanaojiona salama wenyewe ushirika wao utakapokoma ndipo kamba itapokatikia wasiamini poromoko lao.
 
Namba 3 was a fuckn first class mistake! Na litawatafuna hilo! Hawa wahuni ni kina nani hasa? Au ndo the Msogaz,the Rosts and the likes??
 
Mungu ni zaidi ya tuwazavyo na tupangavyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…