Kwasasa sioni mtu wa kuliweza kundi la msoga na wahuni. Kama na mabakamabaka wameshindwa tunatakiwa kuzoea tu mpaka Mwenyezi Mungu atakapoamua kuwachukua mmoja mmoja kitu ambacho nacho ni kigumu.
yoga kama haujafa na maandamano hongera, hebu funguka kidogo how? Did you expect hii kitu ya 29 October 2025? Je hiyo ya 09 December 2025 iko kama hii ya MO29? Je Current CEO anahofia kisasi cha kumuua late CEO???
Hili swala halipo kwa sababu mtu aliyefeli form four na la saba akaja kuwa rais. Unadhani Psychologie yake itakuwaje ? Yeye anadhani kila mtu anamdharau. Ongezea ni mwanamke. We are officially cooked. Hamjui Magufuli aliwafundisha nini watu. Magufuli alishamwonesha Samia unaweza kufanya unachotaka na usifanywe lolote. Na hili Magu aliwaonyesha Tanzania nzima. Hata Rais atakaekuja kama katiba haitabadilika atafanya mabaya zaidi.
Wananchi hata mkichoka haisaidii kuiokoa hii nchi. Labda mtengeneze factions na muanze kubeba risasi mbali na hapo tutasubiri sana. Maana mwenye kuleta mabadiliko ni rais na rais hawezi kuleta mabadiliko maana atambania rais ajae. Na akimbania rais ajae anaweza kufungwa kwa katiba hio hio mpya. Usione Marekani, Japan, China, Ujerumani n.k zipo hao zilipo. Ukisoma historia za hizo nchi damu ilishamwajika nyingi sana mpaka viongozi wakawa serious.