Dark days 17/03/20

Amina
 
Ndo maana watu wanatoa ushauri na kupiga kelele baadhi ya vitu virekebishwe kupata hao viongozi ambao wako vzr laa sivyo Hali sio shwari

Yaani sshv ndo tunamuelewa Magufuli aliyekuwa na uthubutu
Things turning upside down, kipindi cha Magufuli Tanzania ilikuwa ni nchi tajiri inayoweza kujitegemea, na hii mentality ikaanza kujengeka kwenye akili na mioyo ya Watanzania.
Ila sasa Tanzania ni nchi masikini, omba omba, na mikopo mara dufu.

Ogopa wahuni.
 
Oooh nimekuelewa...kwamba sawa atakuepo hadi iyo feb..ila yule bwana atachukua mpira kiulainii kwa mtelezo wa kitonga πŸ˜›πŸ˜›...dah Bora mimi sikuwa jasusi..ningeshaweka maspika nchi nzima kutoboa siri
Kwa hiyo ndg nchi mbichi amewekwa kimkakati, ikitokea Mkuu akaenda zake, atafaa kuliongoza kalandinga.
 
Sa
Samia hajamkutia Magufuli kwa kukopa..Magu alikopa hadi kwa taasisi binafsi na mifuko ya wastaafu. By the way wote ni CCM
 
Too bad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…