Dark days 17/03/20


Kwa kwelii, tujikite na Umbea wa selfika, haya mambo ya kuchokoza mamlaka, yanaepukika kabisaa. Lol
Bora tuwachokoze akina Boss ledi
Watatuchamba tu ila hawana virungu
Haya mambo ya kuchokoza waty wa system, wana risasi hawa watatumwaga ubongo😂😂
 
Huu Uzi utakuwa hai mpaka pale agano litakapotimia,yes July ndo hii Sasa..term ya kutimiliza yote yaliyonenwa na kuandikwa kwamba hayana budi kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…