Dark days 17/03/20

Team Msonga, ni lini Mkwere amewahi kuonyesha kuchukizwa au kukemea, Utekaji na watekaji?
Kauliwa Mzee mwenzake, Mzee Ally Kibao, amewahi kusema chochote?
Kwenye imani yake husemwa kuwa kuna aya yenye kusema

"ukiona jambo ovu liondoshe kwa mkono wako, au likemee laa huna uwezo lichukie"

Mkwere ndio mshauri Mkuu wa Bi mkora,

Kwa nini Mkwere anawashambulia viongozi wa dini kwa nyakati tofauti wanaokemea utekaji nchini na kuuliwa watu ovyo?
Kwa nini Mkwere asikemee watekaji?

Oooo viongozi wa dini wasichanganye siasa na dini, wakati yeye alimchangua yule mchungaji wa Mikocheni kuwa mbunge, Kiongozi wa dini alimwingiza kwenye siasa kwa mkono wake, pia kwenye kula kiapo Mkwere nyakati zote mbili alitumia kitabu cha dini Quran, mnafiki sana mkubwa,

angeapa basi kwa kutumia wimbo wa taifa kuliko kitabu cha dini ili hali yeye mwanasiasa,

Je yeye ndiye aliye mshauri Bi mkora kuwa na genge la kigaidi la utekaji?

Mkwere analisaidia taifa au analiangamiza Taifa?
 
Hata mimi huo nalia na huyu generali na si mtu mwingine yeyote! Huyu generali ndie alietufikisha hapa tulipo leo..
 
Daudi alipakwa mafuta mara 3.
Mara ya kwanza akiwa Bado anachunga kondoo wa baba yake, Sauli wakati huo ht hajui kuwa Mungu kashajitwalia mtu mahali pake na kumtia mafuta .
Sauli hakujua kuwa Mungu kashamuacha, na nafasi yake rohoni ishachukuliwa na mtu mwingine na kapakwa mafuta na Samweli(note Kila kitu misingi wake ni rohoni).

Kasome kitabu Cha Samweli utaelewa vzr😅😊
Vita ya Daudi haikuwa ndogo lkn la Bwana lilisimama!
Asikiae na afahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…