Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,874
- 37,653
Mbona mambo Bado subiri bunge livunjwe hutaaminiAisee,msajili ametengua uteuzi wa viongozi wa CDM na amekiondolea ruzuku pia π
Hizo ID ulizoziorodhesha ndio za kuzitilia maanani sana. Wakati mwingine makosa katika uandishi wa lugha yanatoa taswira ya usahihi wa kile unachokitoa/kukieleza. Mtu mwenye taarifa za kuungaunga huwa anakuwa na makosa mengi katika uandishi.britanicca na Tumia akili ndo naelewa nikisoma info za uhakika wengine hawa hamna kitu
ni kubashiri tu
π³Mbona mambo Bado subiri bunge livunjwe hutaamini
Hata hawa wanaoonekana wapinzani Kwa ss Wala hawatakua na issue, upinzani wenyewe utatoka ndani
Just seat and watch....
Note, this time hii nchi mambo hayatakua km watu walivyozoea, turashuhudia mengi
Uwasilishaji wa Yoga ni kwa style tofauti na hao waliotajwa, kwanza Yoga mwanzoni kasema hii ni hadithi, pili hajawahi kutaja mtu, ila wachangiaji ndo wanaunga wenyewe dots na kuhusisha na watu au na tasisi moja kwa moja. Kwahiyo Yoga yupo sahihi kabisa kwa style yake na wale wengine wapo sahihi kwa style zao.Hizo ID ulizoziorodhesha ndio za kuzitilia maanani sana. Wakati mwingine makosa katika uandishi wa lugha yanatoa taswira ya usahihi wa kile unachokitoa/kukieleza. Mtu mwenye taarifa za kuungaunga huwa anakuwa na makosa mengi katika uandishi.
Hapa ndipo ninapomtilia shaka bibie yoga kwa taarifa zake kama vile ni za kuunganisha dots tu hasa kutokana na makosa mengi katika kiingereza chake.
Smartness inayoonekana katika uandishi inaanzia kichwani japo kunaweza kukawa na makosa madogo sana wakati mwingine usiweze kuyabaini.
Tuupe muda wakatiMbona mambo Bado subiri bunge livunjwe hutaamini
Hata hawa wanaoonekana wapinzani Kwa ss Wala hawatakua na issue, upinzani wenyewe utatoka ndani
Just seat and watch....
Note, this time hii nchi mambo hayatakua km watu walivyozoea, turashuhudia mengi
We just pray all those suprises and unexpected outcomes, be for the wellbeing of the country and the people.Mbona mambo Bado subiri bunge livunjwe hutaamini
Hata hawa wanaoonekana wapinzani Kwa ss Wala hawatakua na issue, upinzani wenyewe utatoka ndani
Just seat and watch....
Note, this time hii nchi mambo hayatakua km watu walivyozoea, turashuhudia mengi
AmenWe just pray all those suprises and unexpected outcomes, be for the wellbeing of the country and the people.
Hakika tutulie huku tukiombaTuupe muda wakati
Natamani siku tukipata uhuru tukutane sehemu tugonge glass pamoja Kwa furahaπ₯Hakika tutulie huku tukiomba
Ngoja July ipiteπ€£Natamani siku tukipata uhuru tukutane sehemu tugonge glass pamoja Kwa furahaπ₯
Niko hapa nasubiri πNgoja July ipiteπ€£
Tusubiri bunge livunjwe πNiko hapa nasubiri π
Sawa sawaa TayanaTusubiri bunge livunjwe π
Hakuna aliyevitwa Wala kukaaAliyenzisha hii thread amewapatia sana. Amefanikiwa kutengeneza kichaka reliable kwa ajili ya kufanya spinning kwa namna anayotaka.
Amewavuta, akawajaza na mmejaa haswa kama makoala!
Miye ntazamia ntakunywa maji tuuuNatamani siku tukipata uhuru tukutane sehemu tugonge glass pamoja Kwa furahaπ₯