Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 9,162
- 24,281
Unfortunately ama Mungu ameatuacha tuelekee kwenye upotofu au sisi wenyewe tumeshindwa kutumia kwa usahihi nyenzo zilizopo kwa usahihi kuzijua habari za Mungu.Mkuu Pendaelli ni kweli kama mtu ulimsikiliza mtu kwa maneno ya ujanja ujanja wake bila kumpima kwenye mizani ya Neno la Mungu halafu ukauza mali zako, ukakimbia Dar unaweza kuachana na imani, ukaamua kuambatana na uganga na mizimu, na unaweza kulipa kisasi kwa aliye fanya uongo, km hutaongozwa na utu wa ndani.