Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,009
- 4,769
kumbuka borntown ni mwamba wa hizi mambo ndio maana akaamua amsogeze na nduguye Mango karibu bahati mbaya EL hajiwezi tena chamoto wangekionaSystem ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.
Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
