Darassa vs Diamond

huu upuuzi ndio uliomuumiza Ali K naona sasa wanataka kuutumia kumuumiza Darasa wakati jua ndio kwanza linachomoza!!
Akiwa na washauri wazuri asikubali kuuvaaa huu mkenge..akwepe beef,whether za ukweli au za kutengenezwa mitandaoni na wapuuzi wanaojiita wadau..haswa against watu wenye hatua kubwa kimuziki kumzidi yeye...vinginevyo aangalie picha upande wa pili aone what to expect!
 
Nimesikia safari hii atakupa mimba wewe unayefafana nae umri,maana ile ya kumzalisha aliyemzidi umri inakuuma sana.
Sorry da sema sepenga kumbe bado una mahaba na shem wa zamani Hahahaaaa maana siyo kwa MPOVU huo..
 
huu upuuzi ndio uliomuumiza Ali K naona sasa wanataka kuutumia kumuumiza Darasa wakati jua ndio kwanza linachomoza!!
Akiwa na washauri wazuri asikubali kuuvaaa huu mkenge..akwepe beef,whether za ukweli au za kutengenezwa mitandaoni na wapuuzi wanaojiita wadau..haswa against watu wenye hatua kubwa kimuziki kumzidi yeye...vinginevyo aangalie picha upande wa pili aone what to expect!
Hatakiwi awe mwoga. Mkenge gani? Akitoa mistari kama ya muziki na too much, mondi yeye atajibu na taarabu au? Mwenzake afoke with power, yeye aimbe maneno ya kwenye kanga atamuweza wapi? Think. Kiba ni mwimbaji ndo maana.
 
huu ufananishi uliokosa mlingano!
eti nani mkali kati ya Lebron James na Ibrahimovic!??
haiku work kwa Kiba tena wakifanya genre moja, kwa Darasa hii itafeli vibaya na atakae risk kupoteza ni yeye.hana base kubwa ya mashabiki na umaarufu wke si mkubwa hivyo.
kama ana meneja anaejielewa angetumia huu upepo kurefusha mizizi yake mbali kidogo badala ya ktengeza malumbano ya kipuuz yanayoweza mgharimu hata kidogo alicho nacho........NA HUU SIO UOGA, INAITWA BUSARA!
 
Duh! Moja;wote wako kwenye tasnia ya muziki siyo sawa unavyofananisha basketball vs football. we ndo umeingia chaka.

Pili, kuna mashabiki wa muziki wa kufoka na mistari ya ukweli. Hao watabaki naye kama akija fresh again. Cha muhimu ni ujumbe ulioko kwenye music, period.
 
fikiri vema kabla ya kubisha
''wote wako tasnia ya muziki"..........................football & basketball yote ni michezo tena ya kufanana,ina chezwa uwanjani na mpira na inaheabu magoli au points...lakini ni aina tofauti za michezo! GENRE NI TOFAUTI JAPO HIP HOP NA AFRO POP YOTE NI MUZIKI!!
pili,sikusema Darasa hawez fanya muziki mzuri tena after this...i just aired my views as a concerned fan...aepuke bifu za kibwege especially na maadui wa domo wanaotamani apate mpinzani na kuanguka kwa miaka saba sasa ila bado yupo tu!
 
Kwingine upo sawa. Bado sikubaliani na kauli yako kuwa nimefananisha vitu tofauti kama LBJ na Zlatan. Wewe ndo umeshindwa kuelewa. Kwasababu nafahamu bifu za wasanii kibao walioko kwenye genre za tofauti ie lil b vs the weekend, the game vs Criss Brown, Plies vs Criss brown, Ray J vs Kanye, Drake vs Criss Brown just to name a few.
Siyo lazima ajiingize directly kwenye bifu, ila asiwe muoga hata kidogo, style yake akionyesha uoga ndiyo itamwangusha. The only thing he has to fear is fear itself... aweke mistari yake kama anavyofanya, the rest awaachie mashabiki na soko liamuwe. Pia bifu siyo lazima msanii aanguke, sisi tunaopenda muziki ndo tunafaidi. Aliyeanguka kwa ajili ya bifu ni Jarule peke yake vs Fitty. Ila bifu inaweza ikawa ina faida kwa mashabiki na wasanii wenyewe. Siyo lazima iwe na negative impact. Aweke muziki tu si tufurahi na mwenzake naye aumize kichwa.
 
didnt want the kid to be a coward...! never talked of uoga kwake,mi hata sijui uoga unafananaje.
bifu inaweza kua na faida lakini ushauri wangu ulikua aangalie levo aliopo kabla hajabebwa na matukio na upepo wa mafanikio sababu bifu at this levo kwake lina hasara kubwa kuliok faida.si msanii mkubwa bado,anahitaji mizizi ardhini kabla hajaanza kuneemeka na bifu.
besides,kilichomfanikisha mwingine sio lazima kimfanikishe na yeye n vice versa
 
Back
Top Bottom