Darassa vs Diamond

Dooh kumbe diamond si mtu wa mchezo mchezo yaan kiba kashindwa mmeona mmushindanishe na hip hop dooh team kiba mna shida sana na inabidi mpimwe akili sababu si zenu ni za kuchanganya na matope
 
Darassa mkali ila kwa diamond maji marefu bado anasafari ndefu kumfikia muulizeni kiba pamoja na ukongwe lakini kwa mondi kagwaya msapotini kwa matendo sio maneno
Wakati wewe target yako ni show za Manzese, Buguruni, uwanja wa fisi. Mwezio show zake ni za Dc washington, tokyo, beijing na kwingine kwa juu. Japo Video yake in-trend vizuri kiasi Youtube lakini Darasa kwa personality bado sana kwa Mond.
 
Back
Top Bottom