Ulifuatilia mwenendo wake wakati tukielekea kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu ?Kwanini
Nimekupata vema.. Naona sasa zimemrudiUlifuatilia mwenendo wake wakati tukielekea kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu ?View attachment 3621909
Madeleka mwanzoni alikuwa vizuri kweli kweli. Uchaguzi wa 29/10 ndiyo ulianika udhaifu wake kwenye siasa. Yuko kama Pascal Mayalla . Huwa anajifanya kama comedian wa siasa au tuseme kama alivyo clown kwenye circus, basi na wao ni clown kwenye siasa.Madeleka ni kama popo hajulikani kama ni ndege au mnyama☺️
SwadaktaHuu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.
Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali.
Anasisitiza kuwa viongozi wa serikali hawana mamlaka ya kuzuia mikutano hiyo kikatiba, kwani Rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari.Aidha, anaelimisha kuwa askari hawapaswi kutekeleza amri haramu wala kutumia nguvu kubwa kama vipigo, kwani kuvaa sare hakumweki mtu juu ya sheria.
Anafundisha pia kuhusu wajibu wa makosa ya jinai, akieleza kuwa kosa la jinai ni la mtu binafsi na si la kikundi au chama kizima.
Mwisho, anatoa wito kwa waandishi wa habari na jamii kwa ujumla kuwa na tabia ya kuhoji na kuwataka viongozi kutaja vifungu vya sheria kila wanapotoa matamko yao.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1TKcdSx3t1/
vyombo vya ulinzi na usalama kamwe haviwezi kuruhusu mikutano ya hadhara ya kichochezi yenye lengo la kuhatarisha au kuvuruga amani na utulivu wa wananchi.Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania.
Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria ya polisi inataka vyama vya siasa kutoa taarifa tu ya mikutano badala ya kuomba kibali.
Anasisitiza kuwa viongozi wa serikali hawana mamlaka ya kuzuia mikutano hiyo kikatiba, kwani Rais pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari.Aidha, anaelimisha kuwa askari hawapaswi kutekeleza amri haramu wala kutumia nguvu kubwa kama vipigo, kwani kuvaa sare hakumweki mtu juu ya sheria.
Anafundisha pia kuhusu wajibu wa makosa ya jinai, akieleza kuwa kosa la jinai ni la mtu binafsi na si la kikundi au chama kizima.
Mwisho, anatoa wito kwa waandishi wa habari na jamii kwa ujumla kuwa na tabia ya kuhoji na kuwataka viongozi kutaja vifungu vya sheria kila wanapotoa matamko yao.
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1TKcdSx3t1/
Mkuu Macho Mdili, macho_mdiliko , naheshimu mawazo yako, na ikitokea wewe mwenyewe unajijua ukoje unasimama wapi na unasimamia nini, shikilia msimamo wako, usijali watu wakiku judge wanavyokuona, wewe endelea kusimama na kusimamia kile unachokiamini!.Madeleka mwanzoni alikuwa vizuri kweli kweli. Uchaguzi wa 29/10 ndiyo ulianika udhaifu wake kwenye siasa. Yuko kama Pascal Mayalla . Huwa anajifanya kama comedian wa siasa au tuseme kama alivyo clown kwenye circus, basi na wao ni clown kwenye siasa.
Madeleka ni aina ya mwanaharakati aliye na msimamo wa kati.Madeleka ni kama popo hajulikani kama ni ndege au mnyama☺️
Mkuu kuamini zimerudi ndio kunamuaminisha kuwa anaweza kuziweka tena pembeni pale atakapoona fursa kupitia mfumo uliopo ...kiufupi anakuwa amewamudu WatanganyikaNimekupata vema.. Naona sasa zimemrudi
Chief na wewe unaifuatiliaga hii ng'ombe?!
Pengine kwa post hii nitamfahamu zaidi maana kuelekea uchaguzi mkuu alikera sana..Chief na wewe unaifuatiliaga hii ng'ombe?!
Hii ng'ombe haijapata kushinda kesi ya mteja wake yoyote yule katika mahakama zote!, kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama kuu!
Huyu ni joka makengeza! Same same zitto...
Vijana wa mfumo hawa!
Mfuatilie, maana hata kesi nyingi kampuni yake ya stalwart law chambers inazochukua, ni kesi ambazo jamhuri huwa ina maslahi kwenye hizo kesi...na siku zote Madeleka huangukia pua!Pengine kwa post hii nitamfahamu zaidi maana kuelekea uchaguzi mkuu alikera sana..