Darasa la kupigilia pamba kijanja

Mi nilikua napiga penzi na soksi za pundamilia mpaka nusu ugoko. Watu walikuwa wananikodolea sana macho, nilidhani kuwa wananionea wivu lakini leo ndo nimejua kwanini walikuaga wananishangaa
Hahahahaha
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
Mimi kuna bank hizi za waalimu nilikutana na jamaa kavaa suti (three pieces)ina rangi ya njano ka maua ya alizeti,jamaa alikuwa comfortable kinoma,akiamini kaja kutushika,nilimshangaa na sitomsahau maishani kwa uvaaji mbovu kama ule.
Hao watakuwa wale wanaopanda mabasi kama nganga, superfeo , rungwe n.k. Nadhani naeleweka.Wao mtu kuvaa shati jeupe, suruali ya njano na kiatu cha kijani kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sasa jamani changamoto ni hapo kwenye mlegezeo. Hizi dizaini wanaita "modo" zinakuja zimedizainiwa mburuzo mfupi balaa. Nina maanisha huu mzunguko kutoka mbele, sehemu ya kizazi, kuja nyuma kupitia kwenye korodani katikati ya miguu. Sasa unavaa ngoma inapelea, unakuta mfereji wa mbuzi unabaki wazi au nguo ya ndani inajivinjari nje. Mtu anaweza sema umepiga mlegezeo wa makusudi kumbe unakimbizana na fasheni. Kha!
 
Mkuu unatakiwa uchomekee singlet zen unapiga mkanda inakuwa fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…