hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,518
- 15,006
Kwani madawati,wanafunzi na wafanyakazi hewa vimeshakwisha?.tukimaliza kujenga viwanda
Kwani madawati,wanafunzi na wafanyakazi hewa vimeshakwisha?.tukimaliza kujenga viwanda
Sijaribiwi!Kuna baadhi ya vitu vingine vinaumiza moyo sana, mpaka unafikia hatua ya kumuuliza Mungu kwani sisi tumekosa nini? au ni hii misaada ya wazungu ndio kilema chetu? mbona wenzetu wanaweza sisi hata kujaribu tu tunashindwa? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sijaribiwi!
Na kabla ya viwanda tunatakiwa kuhamia dodoma,na kabla ya hapo tuzunguke nchi nzima kutoa matamko na kuminya demokrasia pia kabla ya viwanda lazima tujenge chato international airport tukimaliza hapo tunaangalia ishu ya wafanyakazi hewa inaendeleaje lakini msiwe na wasiwasi kwasababu hata serikali yetu ni hewa,lakini kabla ya yote hatujamaliza kugawa madawati ila hii isiwakwamishe nyie endeleeni kufyatua tu watoto msiwe na wasiwasi kabisa.lakini wakati mkiendelea kukumbuka kwamba Mimi sijaribiwi msisahau kwamba hapa ninacho kufanya ni sawa na ujenzi wa mnara wa babeli kwahiyo maendeleo ni ??????? nikimaliza yote hayo nitawajengea daraja la kioo kubwa Mara mbili ya lile la kigamboni na nitatumia wakandarasi kutoka ndani ili kubana matumizi,eeeehh kwahiyo msiwe na wasiwasi.tukimaliza kujenga viwanda
ba hii ndio Tanzania ninayo itakaNa kabla ya viwanda tunatakiwa kuhamia dodoma,na kabla ya hapo tuzunguke nchi nzima kutoa matamko na kuminya demokrasia pia kabla ya viwanda lazima tujenge chato international airport tukimaliza hapo tunaangalia ishu ya wafanyakazi hewa inaendeleaje lakini msiwe na wasiwasi kwasababu hata serikali yetu ni hewa,lakini kabla ya yote hatujamaliza kugawa madawati ila hii isiwakwamishe nyie endeleeni kufyatua tu watoto msiwe na wasiwasi kabisa.lakini wakati mkiendelea kukumbuka kwamba Mimi sijaribiwi msisahau kwamba hapa ninacho kufanya ni sawa na ujenzi wa mnara wa babeli kwahiyo maendeleo ni ??????? nikimaliza yote hayo nitawajengea daraja la kioo kubwa Mara mbili ya lile la kigamboni na nitatumia wakandarasi kutoka ndani ili kubana matumizi,eeeehh kwahiyo msiwe na wasiwasi.
yupo na wakuu wa mikoa hewaKwani madawati,wanafunzi na wafanyakazi hewa vimeshakwisha?.
Teeh.yupo na wakuu wa mikoa hewa
hahahahah-yy mwenyewe atakuwa moja wao maana ile chato na bk ni za UgTeeh.
Akimaliza wakuu wa mikoa hewa asisahau na raia hewa.
Itambidi ajitumbue tu.hahahahah-yy mwenyewe atakuwa moja wao maana ile chato na bk ni za Ug
Baada ya Mungu ni.................,Hawa watu wako vizuri sana.
Tatizo la nchi za kiafrika ni kwamba hatutengi muda wa kufikiri ndio maana tunaishia kuona miujiza kwa wenzetu,We needed to take time to think because its the source of power.
cha ajabu limegharimu $3.4 . sipatii picha lingegharimu kiasi gani Tanzania. nawaza tu[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ha ha ha! Vitukuu vya jamaa vinachefukwa vikisikia hiyo kitu. Vyenyewe huo uwezo hawana na wangependa na wengine wawe kama wao! Kutwa kucha kubamiza "nazi" chini ndicho wanachojua na kulazimisha wengine wafanye kama wao! Mwenyezi Mungu hugawa karama zake jinsi apendavyo.msifu na aliye desgn:mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan
Anzia kwako mwenyewe hata kujaribu tu umeshindwaKuna baadhi ya vitu vingine vinaumiza moyo sana, mpaka unafikia hatua ya kumuuliza Mungu kwani sisi tumekosa nini? au ni hii misaada ya wazungu ndio kilema chetu? mbona wenzetu wanaweza sisi hata kujaribu tu tunashindwa? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hata sijui una maana gani?Anzia kwako mwenyewe hata kujaribu tu umeshindwa