Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
ongera kwake naemsifu na aliye desgn:mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan
ongera kwake naemsifu na aliye desgn:mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan
Sisi bado tupo kwenye tafiti za dawa za kukuza uume na kuchelewa kukojoa.....
Huku wanawake wakijitahidi kukuza makalio.....na kubinua matiti......
maana chato yapo mengu ya namna hiyo siyohamna cha kushangaza apo!
Hakuna cha kujifunza hapa ni kupamban na UKUTA mpaka kieleweke.Hahahahaaa! Wachina wanafanya mambo makubwa sana. Ni jambo jema kujifunza
Ngoja tumalize la madawati kwanzamshara Jr kwa kweli ni fedheha wenzetu wamefikia hatua hiyo huku sisi bado hata madaraja ya kutengeneza kwa mawe na mchanga hatuwezi
Hata huko kwa wazungu wapo vichwa Nazi Kama hapa, tofauti ya huko wapo wachache wakati huku wapo hadi ngazi ya juu ya maamuZiKuna baadhi ya vitu vingine vinaumiza moyo sana, mpaka unafikia hatua ya kumuuliza Mungu kwani sisi tumekosa nini? au ni hii misaada ya wazungu ndio kilema chetu? mbona wenzetu wanaweza sisi hata kujaribu tu tunashindwa? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ugonjwa wa kiyahudi huuNilijua tu mkono wa mayahudi haukosekani hapo!
Uwiiiiii sipiti hata kwa hela.
Teh tehHata huko kwa wazungu wapo vichwa Nazi Kama hapa, tofauti ya huko wapo wachache wakati huku wapo hadi ngazi ya juu ya maamuZi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini sasaUwiiiiii sipiti hata kwa hela.