Daraja refu zaidi la kioo kufunguliwa China

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,896
Reaction score
33,706
  • _90841891_hi033705974.jpg
    Image copyrightAP
Image captionDaraja hilo la kioo litafunguliwa katika mkoa wa Hunan
Daraja refu zaidi duniani ambalo sakafu yake ni kioo litafunguliwa katika mji wa Zhangjiajie katika mkoa wa Hunan nchini China wikendi hii.

Daraja hilo ndilo la juu zaidi lenye sakafu ya kioo duniani na linaunganisha milima miwili ambayo hufahamika kama Milima ya Avatar. Filamu ya Avatar iliandaliwa katika milima hiyo.

_90842198_hi033723227.jpg
Image copyrightREUTERS
Image captionWale wenye ujasiri wataweza kutazama mandhari ya kuvutia
Daraja kwa tarakimu
Ujenzi ulikamilika Desemba mwaka jana. Urefu wa daraja hilo ni 430m na liligharimu $3.4m (£2.6m).

Daraja hilo limewekwa 300m juu ya ardhi, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Xinhua.

Sakafu yake imeundwa kwa vipande 90 vya vioo ambavyo vina tabaka tatu.

Kwa mujibu wa maafisa wa serikali, daraja hilo lenye upana wa mita 6, ambalo mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan, tayari limeweka rekodi kadha za dunia katika usanifu mijengo na ujenzi.

_90842194_hi033723228.jpg
Image copyrightREUTERS
Je, na usalama wake?

Hili ni suala kuu. Lakini maafisa wameandaa hafla za kudhihirisha uthabiti wake. Maafisa walituma watu wenye nyundo kujaribu kuvunja vioo. Pia magari yaliyojaa abiria yalipita juu yake mapema mwezi huu.

Mwandishi wa BBC Dan Simmons ni mmoja wa walioalikwa kujaribu kubaini iwapo vioo vya daraja hilo vinaweza kuvunjika.
Dan Simmons akipima uwezo wa daraja refu zaidi la kioo duniani
_90842334_hi033706107.jpg
Image copyrightAP
Image captionMaafisa walituma watu na nyundo makusudi
_90842196_hi033705932.jpg
Image copyrightAP
Image captionMagari yaliyojaa watu pia yalipita juu
Maafisa wanasema watu 8,000 wataruhusiwa kutumia daraja hilo kila siku.
 
Hahahahaaa! Wachina wanafanya mambo makubwa sana. Ni jambo jema kujifunza
 
niliwahi kuona demo kwenye clip mmoja hivi watu walikuwa wanahangaika kuvuka iliwabidi wengine wavuke kwa mtindo wa kutambaa. Japo sijui lile lilikua faraja la wapi...
 
  • _90841891_hi033705974.jpg
    Image copyrightAP
Image captionDaraja hilo la kioo litafunguliwa katika mkoa wa Hunan
Daraja refu zaidi duniani ambalo sakafu yake ni kioo litafunguliwa katika mji wa Zhangjiajie katika mkoa wa Hunan nchini China wikendi hii.

Daraja hilo ndilo la juu zaidi lenye sakafu ya kioo duniani na linaunganisha milima miwili ambayo hufahamika kama Milima ya Avatar. Filamu ya Avatar iliandaliwa katika milima hiyo.

_90842198_hi033723227.jpg
Image copyrightREUTERS
Image captionWale wenye ujasiri wataweza kutazama mandhari ya kuvutia
Daraja kwa tarakimu
Ujenzi ulikamilika Desemba mwaka jana. Urefu wa daraja hilo ni 430m na liligharimu $3.4m (£2.6m).

Daraja hilo limewekwa 300m juu ya ardhi, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Xinhua.

Sakafu yake imeundwa kwa vipande 90 vya vioo ambavyo vina tabaka tatu.

Kwa mujibu wa maafisa wa serikali, daraja hilo lenye upana wa mita 6, ambalo mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan, tayari limeweka rekodi kadha za dunia katika usanifu mijengo na ujenzi.

_90842194_hi033723228.jpg
Image copyrightREUTERS
Je, na usalama wake?

Hili ni suala kuu. Lakini maafisa wameandaa hafla za kudhihirisha uthabiti wake. Maafisa walituma watu wenye nyundo kujaribu kuvunja vioo. Pia magari yaliyojaa abiria yalipita juu yake mapema mwezi huu.

Mwandishi wa BBC Dan Simmons ni mmoja wa walioalikwa kujaribu kubaini iwapo vioo vya daraja hilo vinaweza kuvunjika.
Dan Simmons akipima uwezo wa daraja refu zaidi la kioo duniani
_90842334_hi033706107.jpg
Image copyrightAP
Image captionMaafisa walituma watu na nyundo makusudi
_90842196_hi033705932.jpg
Image copyrightAP
Image captionMagari yaliyojaa watu pia yalipita juu
Maafisa wanasema watu 8,000 wataruhusiwa kutumia daraja hilo kila siku.
Kuna baadhi ya vitu vingine vinaumiza moyo sana, mpaka unafikia hatua ya kumuuliza Mungu kwani sisi tumekosa nini? au ni hii misaada ya wazungu ndio kilema chetu? mbona wenzetu wanaweza sisi hata kujaribu tu tunashindwa? [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
  • _90841891_hi033705974.jpg
    Image copyrightAP
Image captionDaraja hilo la kioo litafunguliwa katika mkoa wa Hunan
Daraja refu zaidi duniani ambalo sakafu yake ni kioo litafunguliwa katika mji wa Zhangjiajie katika mkoa wa Hunan nchini China wikendi hii.

Daraja hilo ndilo la juu zaidi lenye sakafu ya kioo duniani na linaunganisha milima miwili ambayo hufahamika kama Milima ya Avatar. Filamu ya Avatar iliandaliwa katika milima hiyo.

_90842198_hi033723227.jpg
Image copyrightREUTERS
Image captionWale wenye ujasiri wataweza kutazama mandhari ya kuvutia
Daraja kwa tarakimu
Ujenzi ulikamilika Desemba mwaka jana. Urefu wa daraja hilo ni 430m na liligharimu $3.4m (£2.6m).

Daraja hilo limewekwa 300m juu ya ardhi, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Xinhua.

Sakafu yake imeundwa kwa vipande 90 vya vioo ambavyo vina tabaka tatu.

Kwa mujibu wa maafisa wa serikali, daraja hilo lenye upana wa mita 6, ambalo mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan, tayari limeweka rekodi kadha za dunia katika usanifu mijengo na ujenzi.

_90842194_hi033723228.jpg
Image copyrightREUTERS
Je, na usalama wake?

Hili ni suala kuu. Lakini maafisa wameandaa hafla za kudhihirisha uthabiti wake. Maafisa walituma watu wenye nyundo kujaribu kuvunja vioo. Pia magari yaliyojaa abiria yalipita juu yake mapema mwezi huu.

Mwandishi wa BBC Dan Simmons ni mmoja wa walioalikwa kujaribu kubaini iwapo vioo vya daraja hilo vinaweza kuvunjika.
Dan Simmons akipima uwezo wa daraja refu zaidi la kioo duniani
_90842334_hi033706107.jpg
Image copyrightAP
Image captionMaafisa walituma watu na nyundo makusudi
_90842196_hi033705932.jpg
Image copyrightAP
Image captionMagari yaliyojaa watu pia yalipita juu
Maafisa wanasema watu 8,000 wataruhusiwa kutumia daraja hilo kila siku.
 
Baada ya Mungu ni.................,Hawa watu wako vizuri sana.

Tatizo la nchi za kiafrika ni kwamba hatutengi muda wa kufikiri ndio maana tunaishia kuona miujiza kwa wenzetu,We needed to take time to think because its the source of power.
 
mkuu tunafikiri sana lakini bado tupo pale pale sijui tulimkosea nn mungu kwa kweli
 
Mungu ni mwema sana, anapaswa ashukuriwe mno...katupatia cc binadamu kila kitu bila upendeleo wowote ule, unless sisi wenyewe waafrika akili hazimo kichwani, tuna madini kila aina,maziwa,bahari,mbuga za wanyama,m.kilimanjaro,gesi,mafuta nk duh mpaka mkono unachoka kuandika...

Vyote hivyo nimevitaja tumeshindwa kusonga mbele?bado tunategemea misaada tu, Lau kama tanzania ndio Dubai aisee ingekuwa the best country in the world...
 
gharama za ujenzi $ 3 million!, mbona kama ndogo hv kulingana na sifa za hilo daraja
 
cha ajabu limegharimu $3.4 . sipatii picha lingegharimu kiasi gani Tanzania. nawaza tu[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Back
Top Bottom