Daraja la mto Wami kujengwa upya

dyeanka

Member
Jun 19, 2016
96
70
Serikali imeahidi kujenga daraja la mto Wami kutokana na daraja hili kupitisha magari kwa mstari mmoja.
Swali la mbunge wa Tanga mjini Mussa Mbaruku.
 
Safi sana, at least nalo limekaa sana likiwa bovu na lenye uhitaji mkubwa kwa connections za kaskazini.
Na barabara ya pale kitonga ipanuliwe magaru yapishane angalao manne, pako ki hatari sana na pale
Yani kaskazini Wami, na Nyanda za juu kusini Kitonga,
Serikali twaipongeza kwa kuonesha njia
 
Zile pesa za uwanja ndege chato zipelekwe pale! Haoni aibu jamani week 2 tu ameshaanza upendeleo usio na tija? Vitu vya msingi kwa taifa kama lile daraja linasubiri miaka 3 ila uwanja ndege unapewa 2bil na unakaa idle mwaka mzima kusubiri mfalme akienda kuongeza charge?
 
Safi sana, at least nalo limekaa sana likiwa bovu na lenye uhitaji mkubwa kwa connections za kaskazini.
Na barabara ya pale kitonga ipanuliwe magaru yapishane angalao manne, pako ki hatari sana na pale
Yani kaskazini Wami, na Nyanda za juu kusini Kitonga,
Serikali twaipongeza kwa kuonesha njia

Na kivuko cha busisi kijengwe daraja kama la kigamboni
 
Back
Top Bottom