dyeanka Member Jun 19, 2016 96 70 Jun 24, 2016 Thread starter #21 DuppyConqueror said: Tutaanza na Tengeru International Airport na Longido Airport Click to expand... Mbona chuga kuna viwanja vya ndege long time ausee
DuppyConqueror said: Tutaanza na Tengeru International Airport na Longido Airport Click to expand... Mbona chuga kuna viwanja vya ndege long time ausee
bukoba boy JF-Expert Member Jan 15, 2015 5,371 3,948 Jun 24, 2016 #22 dyuteromaikota said: wanaanza lini kujenga mkuu? Click to expand... Mpaka 2029 ndio wameanza mchakato wa upembuzi yakinifu.
dyuteromaikota said: wanaanza lini kujenga mkuu? Click to expand... Mpaka 2029 ndio wameanza mchakato wa upembuzi yakinifu.
Waterloo JF-Expert Member Nov 30, 2010 25,360 38,878 Jun 24, 2016 #23 Ukishaambiwa serikali ina mipango hapo labda wajukuu zako ndio watauona huo utekelezaji.mipango si matumizi atii
Ukishaambiwa serikali ina mipango hapo labda wajukuu zako ndio watauona huo utekelezaji.mipango si matumizi atii
ZINDAGI JF-Expert Member Dec 5, 2015 1,117 1,426 Jun 25, 2016 #24 Ili tuongeze mapato nashauri likishaisha liwe ni la kulipia kama lile la Kigamboni