Daraja la Mabatini Mwanza linazinduliwa leo

samahani maustadhi na maustadhati nilikuja kuangalia hilo daraja lakini sijaliona!! hongereni kwa kukumbushiana your good memories

upo mabatini na hujaliona?
utakuwa chadema wewe pole
 
samahani maustadhi na maustadhati nilikuja kuangalia hilo daraja lakini sijaliona!! hongereni kwa kukumbushiana your good memories
Naam; DeoEee nadhani waweza kuwa mtoto wetu ? Siye twajenga bridge ya udugu na siyo daraja la mbao!! kind welcom again....baby
 
Mwanza: Abdul Ghafur, Hawa, Mohamed, Hussein, Ali, Zainab, Amne, Muzne.

Bukoba; Mauwa Guest House ya Mkwe wangu. Abdallah Swedi (Marehem) friend.

Biharamulo; Biggest wholesale shop enzi hizo.

Chato; Ali Ngozi, Mzee Magufuli, babake John Pombe Magufuli mtu wake namba moja enzi hizo Abdallah Ngozi.

Al Wattan Mwanza Bukoba na mikoa yote inayokaribiana nayo, seuse Dar., Arusha, Tanga.

Niendelee?

FaizaFoxy,

Dah! Yaani wewe na Shariff Ritz,kila jamaa na family mwaijua uzuri...na pia mna kumbukumbu nyingi mno ziso shaka!

Shukran mno kwenu nyoote.

Hapo ulipotaja hao Amne na Muzne...na pia kuna wakti kwenye thread fulani humu,nimeona umetaja ukikaa pale Lumumba Street/D'salaam ubavuni/jirani na afisi za TANU/CCM!?...nina hakika itakua wawafahamu uzuri mno Aunties zangu na pia Mzee Wangu!?

Ile nyumba kitambo kingi,nikiwa mduchu,sisi tukija lakini sikumbuki Al Marhum Hobo yangu na Haloo zangu wakija kumtembelea ndugu yao yupi mle!?...lakini sasa wewe ndo wanitabainishia.

Huyo Baba Mkwe wako Al Marhum Abdallah Ngozi niliwahi kumsikia mno kwa Mzee Wangu...maana mara kadhaa yeye ndo akenda Bukoba,Tabora/Mwanza nafikiri kumtembelea Sheikh Alhaj Kichwabuta na jamaa kadhaa/Wazee Wetu.

Abdallah Suweid,umzungumziaye ndie yeye Al Marhum Mzee Wetu alokua pale Embassy Cairo!?

Yaani chembilecho cha Maulana Kahtaan,yakuwa hii dunia ni nduchu mno!

Yaani nakustahi mno,sina haja tena hata kukuuliza tena khabar za huko Tanga,Arusha,Unguja,Morogoro na Moshi...maana nami pia huko koote ndo family imetapakaa pita kiasi na nina hakika itakuwa twajuana kwa connections hizo! Kwi! Kwi!

Wallahi ni furaha,faghar na faraja kubwa mno,sisi soote kukutanika humu na kutambuana kwa yakini.

Insha Allah,Mola tamzidishia takrima na ihsan chungu tele Shariff Ritz maskini,kwa kutuanzishia barza na gumzo hili jema.

Ahsanta.
 
al habeeb maulana gombesugu wallahi leo umenipeleka mbali mno! Yaani natamani leo hii nichikue likizo nije nikutembelee huko tukae tunywe kahwa huku tukikumbushana ya zamani!

akhiy umenitajia wazee wetu wote huko mwanza na tabora, ukoo wa mtigwa tulikuwa nao karibu mno! ajeeb

na yule mzee Lawrence Gama alikuwa yeye na kaka yangu kama ndugu pale Tabora,

Na wangine woote uliowataja HAKUNA MMOJA NISIE MJUA! subhannallah, amma kweli DUINI NDOGO HII!

Ama kuhusu kuongeza mke. teh teh teh teh teh ! alkhiy maulana life is Short amenipa ofa nzuri mno lkn kwa udhaifu wangu nimetafuta sababu alfu na moja kuikimbia. kwi kwi kwi kwi ! wallah madahifu tuko wengi mno!

manake jana namuonyesha wife huo ujumbe, anasema kama natafuta balaa basi nikaoe mke wa pili! namuuliza kwani wewe si mwislamu?? asema yeye hana neno lkn serikali ndio TATIZO! sasa minikamwambia 'kwani lazima WAJUE?' AKANIJIBU KUWA itabidi aifahamishe serikali kuwa nina wake wawili manake MUISLAMU HATAKIWI KUSEMA UONGO!!

teh teh teh teh, nikamwambia amma kweli wewe huna maana! yaani ktk ukweli umeona huo tu! nae kanijibu kuwa "NA WEWE KTK SUNNAH ZOTE UMEONA HIO YA KUONGEZA MKE TU? teh teh teh teh! amma ana bahati tuko kwa hawa wenye sharia za majahil tu lkn angelikuwa huko kwetu lzm mikwaju kidogo ingetembea hapa! kwi kwi kwi!
Akhiy l kareem nafurahi ndugu yangu leo kupita kiasi! umenikumbusha mbaali mno, Allah akupe furaha na we pia na ndugu zangu woote hapa jf na waislamu kila mahali.
iko siku panapo majaaliwa tutafanya reunion huko Tanzania Inshaa Allahu TAALAH
Ahsant

Maulana Kahtaan,

Asalaam Alaykum,Al Akhiy.

Nimecheka kwa hiyo bayana yako mpaka basi! Kwi! Kwi!

Wajua ndugu zetu Wanawake kwenye hayo majambo ya kuongeza ati "Mke wa pili" hawana maskhara/mzaha hata kiduchu! Kwi! Kwi!

Mie nae...kuna wakti nalikuja na Wifey pale Unguja kuhudhuria kharus ya family.

Sasa wajua kutokana na ile mizaha,furaha,dasturi na tamaduni zetu...kuna distant Cousin yangu fulani maskini ati akamdokozea Wifey kwa maskhara tu...yakuwa yule msichana/"kichin'chiri" pale achezae mno na mwenye bashasha nyingi ndo zamani alimanusra awe ndo Mke wa huyo mumeo Gombesugu! Duh!

Sasa,Wifey maskini ni very sensitive wakti mwingine,na ikawa ati lile jambo kalichukulia very serious...akawa mnyonge kiduchu!

Bakht njema,nikamfahamisha yakuwa tamaduni/dasturi zetu ilikua ni kweli mie niliwekewa yule Cousin yangu tuoane tangia tukiwa waduchu...lakini Mola hakupanga hivyo na wewe ndo imepangwa uwe mwenza wangu.

Akafarijika mno,na maskini Aunts zangu,Cousins na family woote walimfariji,na "kumhakikishia" yakuwa huyo Gombesugu hatooa tena na ni wako peke yako,maisha yenu yoote!? Dah! Kwi! Kwi! Kwi!

Wajua kipindi hicho Wifey,alikua hajajua wala kuzoea kwa undani mambo ya nyumbani/Afrika...lakini siku hizi,nashkuru yakuwa kishazoea mno...na hata wakimfanzia maskhara yeye hucheka tu maskini!

Kuna wakti tulikwenda Haifa kwa matembezi kiduchu ya kifamily...kuna mmojawapo ya Uncle zake ni Kohen/Jewish Priest na ana wake watatu!? Dah!

Sasa kuna wakti namfanzia maskhara na kumpa argument yakuwa,ni uzuri tufuate dasturi/tarbia njema za yule Uncle wake ili nami niongeze Mke mwenzio!? Dah! Kwi! Kwi! Kwi!...yaani hapo ndo inakua "nimechokoza nyuki"! Kwi! Kwi!

Wallahi,ama kwa hakika mimi binafsi huyu mmoja anitosha mno,na nimeridhika kwa yoote pasi mipaka!

Wajua tangia nimeoa huu ndo kwanza mwaka wa sabaa,na hata watoto maskini bado ni waduchu mno tu...hadha min'fadhil Rabbi...

Kwa hiyo Al Akhiy...nakufahamu mno "kitahanani" chako,nami pia sasa namuunga mkonoyeye Ahli yetu hapo nyumbani! Kwi! Kwi!

Yaani ile "offer" ulopawa na Al Habiby Life is short,haikufai asilan,yeye mmoja tu akutosha mno! Kwi! Kwi! Kwi!

Wallahi,Maulana Kahtaan...nitafurahika mno siku ukija kututembelea hapa nyumbani...wala dhiki sitie,wakti wowote ujisikiapo tu jitumbukize ndani ya ndege na utuangukie hapa kizingitini na milango utaikuta iwazi kwa burdani yako,Insha Allah!

Pangu ndo pako saana tu!...nami nataraji kufika hapo Amerika kwa shughuli za hapa kibaruani kiduchu mwezi March....nafahamu upo Detroit...Insha Allah takujuza na tupange nije kukuamkua japo kiduchu.

Hii December mie tafika tena nyumbani kiduchu kwa weeks kadhaa Insha Allah...nikapate japo kutafuna vitoweo organic! Kwi! Kwi!

Hiyo gahwa,sitie shaka mie binafsi takuengenezea ile ya kinyumbani kabisaa! Kwi! Kwi! Kwi!

Pia takutengenezea ile chai ya kukaanga kwa takriban masaa manne/Kashimir Tea! Kwi! Kwi! Kwi!

Au utapendelea ile chai ya zahtar tokea Lubnan!?...au ile chai ya nduguzo wa Arjezabeijan na Uzbekstan!? Kwi! Kwi!

Lakini nakhis utaipenda mno ile chai ya pale kwa nduguzo wa Instabul/Kurdistan!?

Au ile chai ya nduguzo wa Mali na Gambia! Dah! Kwi! Kwi!...hawa jamaa wanapenda mno sukari/tamu,yaani wamekua kama vile jamaa zetu wa pale Chanjamjawiri/Pemba!? Kwi! Kwi! Kwi!

Turejee kwenye Topic zetu kiduchu...je ukimfahamu au ulipata kumsikia,yule Bwana Sheikh Mohamed Magongo wa pale Mwanza!?

Je vipi yule Bwana Bashir Mshoro wa Tabora!?...huyu alisoma na Uncle yangu na alikua ni Sahib yake mkubwa mno.

Nakumbuka kitambo alikua ndie Chief Accountant/Branch Manager wa NMC pale Arusha,khalaf niliwahi pia sikia yakuwa aliwahi kugombea Ubunge-CCM kwa tikiti ya pale Tabora mjini!?

Khalaf pia mwishoni nikasikia yakuwa alikuwa pale TRA!?...wajua nalipoteza contact naye kitambo khasa alipofariki Uncle wangu maskini,nami kuwa sipo nyumbani kitambo kingi mno!

Yule Mzee Rashid Seif nae alokua pale ASCP pale makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani,je wamkumbuka yule Bwana!?

Huyu nae ndo wenye Tabora yao,yaani nasikia yakuwa Al Maaruf family yake pale tangia zama nyingi mno!

Alikua mtu mstaarabu mno,na alikua mtu wa karibu mno wa Mzee Wangu,nae pia nasikia amefariki maskini! Dah!

Wacha nikwache kwasasa...wajua week hii yoote nafanzia shughuli zangu za kibaruani hapa hapa nyumbani,tangia nimerejea safari,kwa hiyo nina fursa/muda mwingi mno wa kuchezea! Kwi! Kwi! Kwi!

Maulana Kahtaan,Wallahi mara zoote nafarijika na kufurahika mno tuzungumzapo na kubadilisha fikra huku tukitakiana siha njema.

Jazzaal Allahu Khairu.

al habeeb al akhiy maulana ndugu yangu gombesugu nashkuru kwa mualiko wako mzuri mno na mimi sina la kuongezea hapo, akhiy l kareem mimi mara nyingi huwa huko kwa queen kwa mashughuli ya upakizi na namna hio! lkn pia huwa mar kwa mara niko Illinois, Chicago, pale yuko elder brother wangu.

ntafurahi mno km utakuja tutembelea huku wewe na ahli zako inshallah! wallah nimechaka mno hii stori yako na shemegi yangu hapo! teh teh teh teh! hawa wake zetu ile aya ya mathna wathulatha... wanaichukia sana , staghfirullah! na afadhali wewe mwenzangu ndoa yako miaka sabaa! mimi habeeb mwaka wa ishirini leo Alhamdulillah lkn bado wivu teletele kwi kwi kwi kwi!
Wajua mwaka juzi nilimchukua wife tukenda pale VERONA! kwenye ile Romeo and Juliet Balcony! sasa wapenzi huwa wanaandika majina yao pale kwenye ukuta! utakuta majina million pale, basi wife aniuliza" haya we kahtaan mbona HUANDIKI MAJINA YETU?? Mi nikamjibu ahh bibie MBONA PENZI LETU LISHAKUWA KONGWE! weeeee! teh teh teh teh!
Wife alikasirika kama kaskia mi ndio naoa leo!!

teh teh teh teh! asema " wawaona wale couples frm Australia?? they are almost 85 yrs old! na wako ndani ya ndoa yao zaidi ya miaka 40! mbona wao wameandika?? mi nkajibu hao ni WAGALATIA! mapenzi yao wasiwasi! mimi na wewe twapendana kikweli! teh teh teh teh!

Basi habeeb vituko vyao hawa wake zetu haviishi!

alaakul hal , hao wazee ulontajia hapo juu kumbukumbu yote inarudi taratiibu wallah!

Yule mzee Rashid seifu nadhani alihamia shinyanga kwenye masuala ya usalama wa taifa. Sina hakika kama huyu mzee wetu yuko hai! na mzee Bashir Mshoro kama sijakosea familia yake bado iko mitaa ya rufita pale TABORA!

Ndugu yangu wazee wetu wengi wametagulia mbele ya haki, nimeskia hivi karibuni hata mashekhe wetu wa pale Tabora takriban woote ninao watambua wametangukia mbele ya haki, kina maalim issa, sheikh salala, ustadh kondo, mzee hamad aliyekuwa na duka pale mtaa wa gongoni! kina maalim mavumbi. na wengineo wengi!

akhyi those were good old days! hivi sasa twasukuma masiku tu! inshaallah Allah siku moja atukutanishe kwa kheri, nipate kuonyanja hio gahwa yako.

Thank you my brother kwa maneno yako mazuri mno!
 
Last edited by a moderator:
gombesugu kahaatan FaizaFoxy mna nini nyie mbona mnataka kuniliza na hizo bayana zenu.

gombesugu umemtaja Mzee wetu balozi Iddi Mtingwa umenikumbusha mbali kuna mtoto wa mjomba wangu alikuwa mkorofi sana alikuwa anasoma mtendeni pale kisutu, ikabidi apelekwe Mwanza kwa Iddi Mtingwa, akapelekwa kusoma Nyakahoja pale makongoro Mwanza wakajumuika na watoto wake kina Rukia Mtingwa na wengine sasa hivi ni watu wazima.

Mzee Magongo mtoto wake moja ni mwanasheria hapo Mwanza anaitwa Salum, mtoto mwingine dada Hawa Mmanga alikuwa mkurugenzi wa mfuko wa PSPF amestaafu rais Kikwete kamteu kuwa mwenyekiti wa bodi TANROADS.

Watoto wake wengine wapo UK wengine Dar na Mwanza huyu mzee Magongo Mungu alimjarilia kizazi ana watoto wengi.

Turudi kwenye mada ya daraja la mabatini.
 
Nisalimie, Bi Hawa Mmanga. Mwambie Faiza akusalimia. Wajuwa kuwa Bibi yangu akiitwa Bi Hawa?

LLa haula waala Kuwata ila BiLlah.

InshaAllah ntawapa kisa siku za usoni.
 
Maulana Dr Kahtaan,

Salaam.

Kwi! Kwi! Kwi!...yaani ndo nimecheka zaidi kwa hiyo story yako na Wifey yako hapa! Kwi! Kwi!...yaani raha ndani ya buraha! Kwi! Kwi!

Wallahi,nitafurahika mno siku Insha Allah Mola penye uhai na majaliwa, kitukutanisha kwa pamoja pale Tanganyika/Tanzania,na ndugu zetu wengine kadhaa...itakua vicheko na furaha kubwa mno...wajua mie ni "mbovu" mno wa kucheka,na kwa hizi story za humu-JF,nakhis patakua hapakaliki kwa vicheko!? Dah! Kwi! Kwi!

Embu jaribu fikiria hii list ikutane itakuwaje hiyo siku!?;...Al Murid THE BIG SHOW,Ayatollah CHAMVIGA,Shariff Ritz,Ulamaa Boko haram,Al Habiby Al Tayeb,Ulamaa Ally Kombo,Al Akhiy Life is short,Mujitahid Wabara,Mufti Barubaru! Duh! Kwi! Kwi! Kwi!

Basi Insha Allah,kama tulivyozungumza,karibu mno hapa ikiwa nawe pia utaajaliwa kuwapo hapo kwa Bi Queen/UK...mimi nipo hapa pembezoni ya suburbs/viunga vya Vienna,na flight tokea pale UK mpaka hapa kizingitini pangu wajua ni only two hours🙂

Mie mara nyingi huwa safarini nchi kadhaa,khasa kwa shughuli za hapa kibaruani pangu...lakini ni aghlab kukaa zaidi ya two weeks nje ya nyumbani...kwa hiyo wala si khofu,fursa ninayo kubwa mno.

Yaani hizi safari mara nyingine "hunichosha" kiduchu,kuna wakti hukaa nikafikiri,yakuwa Wallahi kama ningalikua na uwezo basi ningalijenga nyumba huko huko angani!? Kwi! Kwi!

Shukran mno kwa fursa kubwa lonipatia ya kuzungumza nawe.

Ayatollah CHAMVIGA;Salaam,shukran nalipata ile bayana yako kule kwenye ile thread ya yule juha Yeriko Yohana Msambila aka "Yericko Nyerere",ilofungwa.

Amma kwa hakika,nimekusoma na kukufahamu kwa utuvu ulo mwingi...na tuko pamoja humu na kwingineko kwa yoote.

Kwanini isifunguliwe/tusifungue thread kuhusu; unequal,unfair/dispropotional represantation of Muslims in almost all of our leading Institutions and/or NGO's in the Country,pale kwenye "Jukwaa la Siasa"!?

Nafikiri itakua ni jambo jema mno,pia itatupatia fursa ya kujadili kwa kina/undani na ustaarabu na kusikiza constructive,meaningful arguments ya pande zoote!?

Wajua majambo kama haya huwa-encouraged na kujadiliwa mno kwenye nchi za wenzetu khasa zile zenye healthy/mature democratic institutions!

Ahsantani sana.
 
gombesugu kahaatan FaizaFoxy mna nini nyie mbona mnataka kuniliza na hizo bayana zenu.

gombesugu umemtaja Mzee wetu balozi Iddi Mtingwa umenikumbusha mbali kuna mtoto wa mjomba wangu alikuwa mkorofi sana alikuwa anasoma mtendeni pale kisutu, ikabidi apelekwe Mwanza kwa Iddi Mtingwa, akapelekwa kusoma Nyakahoja pale makongoro Mwanza wakajumuika na watoto wake kina Rukia Mtingwa na wengine sasa hivi ni watu wazima.

Mzee Magongo mtoto wake moja ni mwanasheria hapo Mwanza anaitwa Salum, mtoto mwingine dada Hawa Mmanga alikuwa mkurugenzi wa mfuko wa PSPF amestaafu rais Kikwete kamteu kuwa mwenyekiti wa bodi TANROADS.

Watoto wake wengine wapo UK wengine Dar na Mwanza huyu mzee Magongo Mungu alimjarilia kizazi ana watoto wengi.
Turudi kwenye mada ya daraja la mabatini.

Shariff Ritz,

Shukran Al Akhiy,yaani wewe mtu umekua ndo kama vile Museum yetu sisi nduguzo tuliomo humu JF...Mola takuzidishia ihsan na takrima kwayo.

Nimekusoma na kukufahamu mno.

Nimecheka kiduchu asubuhi hii,maana nimechungulia ile thread yako na wale "wapangaji" zako wenye maduka Kariakoo wasotaka/walogoma kulipa ushuru Serikalini!?

Lakini mie "nakulaumu" wewe Akhiy,maana umetuletea/umetujazia hao makanjanja hapo mjini na kuwapangisha takriban Kariakoo yoote!? Kwi! Kwi! Kwi!...bora ingekua kama awali na tungebaki na wale ndugu zetu wa "Kipemba" maskini!?

Hao jamaa/"wapangaji zako",si unaona tamaduni/dasturi zao za ajabu!?...yaani wakishashiba senti,basi hugombania mpaka Wanawake,kufanza hasma baina yao na kutafuta silaha/bastola na kuteketezana wenyewe kwa wenyewe! Dah!

Yaani hiyo society na Mzizima/D'salaam takriban yoote imeharibiwa na kudhulumiwa!...lakini tukisema tunaambiwa ati ndo "maendeleo" hayo!? Kwi! Kwi!

Ahsanta sana.
 
Maulana Kahtaan,

Asalaam Alaykum,Al Akhiy.

Nimecheka kwa hiyo bayana yako mpaka basi! Kwi! Kwi!

Wajua ndugu zetu Wanawake kwenye hayo majambo ya kuongeza ati "Mke wa pili" hawana maskhara/mzaha hata kiduchu! Kwi! Kwi!

Mie nae...kuna wakti nalikuja na Wifey pale Unguja kuhudhuria kharus ya family.

Sasa wajua kutokana na ile mizaha,furaha,dasturi na tamaduni zetu...kuna distant Cousin yangu fulani maskini ati akamdokozea Wifey kwa maskhara tu...yakuwa yule msichana/"kichin'chiri" pale achezae mno na mwenye bashasha nyingi ndo zamani alimanusra awe ndo Mke wa huyo mumeo Gombesugu! Duh!

Sasa,Wifey maskini ni very sensitive wakti mwingine,na ikawa ati lile jambo kalichukulia very serious...akawa mnyonge kiduchu!

Bakht njema,nikamfahamisha yakuwa tamaduni/dasturi zetu ilikua ni kweli mie niliwekewa yule Cousin yangu tuoane tangia tukiwa waduchu...lakini Mola hakupanga hivyo na wewe ndo imepangwa uwe mwenza wangu.

Akafarijika mno,na maskini Aunts zangu,Cousins na family woote walimfariji,na "kumhakikishia" yakuwa huyo Gombesugu hatooa tena na ni wako peke yako,maisha yenu yoote!? Dah! Kwi! Kwi! Kwi!

Wajua kipindi hicho Wifey,alikua hajajua wala kuzoea kwa undani mambo ya nyumbani/Afrika...lakini siku hizi,nashkuru yakuwa kishazoea mno...na hata wakimfanzia maskhara yeye hucheka tu maskini!

Kuna wakti tulikwenda Haifa kwa matembezi kiduchu ya kifamily...kuna mmojawapo ya Uncle zake ni Kohen/Jewish Priest na ana wake watatu!? Dah!

Sasa kuna wakti namfanzia maskhara na kumpa argument yakuwa,ni uzuri tufuate dasturi/tarbia njema za yule Uncle wake ili nami niongeze Mke mwenzio!? Dah! Kwi! Kwi! Kwi!...yaani hapo ndo inakua "nimechokoza nyuki"! Kwi! Kwi!

Wallahi,ama kwa hakika mimi binafsi huyu mmoja anitosha mno,na nimeridhika kwa yoote pasi mipaka!

Wajua tangia nimeoa huu ndo kwanza mwaka wa sabaa,na hata watoto maskini bado ni waduchu mno tu...hadha min'fadhil Rabbi...

Kwa hiyo Al Akhiy...nakufahamu mno "kitahanani" chako,nami pia sasa namuunga mkonoyeye Ahli yetu hapo nyumbani! Kwi! Kwi!

Yaani ile "offer" ulopawa na Al Habiby Life is short,haikufai asilan,yeye mmoja tu akutosha mno! Kwi! Kwi! Kwi!

Wallahi,Maulana Kahtaan...nitafurahika mno siku ukija kututembelea hapa nyumbani...wala dhiki sitie,wakti wowote ujisikiapo tu jitumbukize ndani ya ndege na utuangukie hapa kizingitini na milango utaikuta iwazi kwa burdani yako,Insha Allah!

Pangu ndo pako saana tu!...nami nataraji kufika hapo Amerika kwa shughuli za hapa kibaruani kiduchu mwezi March....nafahamu upo Detroit...Insha Allah takujuza na tupange nije kukuamkua japo kiduchu.

Hii December mie tafika tena nyumbani kiduchu kwa weeks kadhaa Insha Allah...nikapate japo kutafuna vitoweo organic! Kwi! Kwi!

Hiyo gahwa,sitie shaka mie binafsi takuengenezea ile ya kinyumbani kabisaa! Kwi! Kwi! Kwi!

Pia takutengenezea ile chai ya kukaanga kwa takriban masaa manne/Kashimir Tea! Kwi! Kwi! Kwi!

Au utapendelea ile chai ya zahtar tokea Lubnan!?...au ile chai ya nduguzo wa Arjezabeijan na Uzbekstan!? Kwi! Kwi!

Lakini nakhis utaipenda mno ile chai ya pale kwa nduguzo wa Instabul/Kurdistan!?

Au ile chai ya nduguzo wa Mali na Gambia! Dah! Kwi! Kwi!...hawa jamaa wanapenda mno sukari/tamu,yaani wamekua kama vile jamaa zetu wa pale Chanjamjawiri/Pemba!? Kwi! Kwi! Kwi!

Turejee kwenye Topic zetu kiduchu...je ukimfahamu au ulipata kumsikia,yule Bwana Sheikh Mohamed Magongo wa pale Mwanza!?

Je vipi yule Bwana Bashir Mshoro wa Tabora!?...huyu alisoma na Uncle yangu na alikua ni Sahib yake mkubwa mno.

Nakumbuka kitambo alikua ndie Chief Accountant/Branch Manager wa NMC pale Arusha,khalaf niliwahi pia sikia yakuwa aliwahi kugombea Ubunge-CCM kwa tikiti ya pale Tabora mjini!?

Khalaf pia mwishoni nikasikia yakuwa alikuwa pale TRA!?...wajua nalipoteza contact naye kitambo khasa alipofariki Uncle wangu maskini,nami kuwa sipo nyumbani kitambo kingi mno!

Yule Mzee Rashid Seif nae alokua pale ASCP pale makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani,je wamkumbuka yule Bwana!?

Huyu nae ndo wenye Tabora yao,yaani nasikia yakuwa Al Maaruf family yake pale tangia zama nyingi mno!

Alikua mtu mstaarabu mno,na alikua mtu wa karibu mno wa Mzee Wangu,nae pia nasikia amefariki maskini! Dah!

Wacha nikwache kwasasa...wajua week hii yoote nafanzia shughuli zangu za kibaruani hapa hapa nyumbani,tangia nimerejea safari,kwa hiyo nina fursa/muda mwingi mno wa kuchezea! Kwi! Kwi! Kwi!

Maulana Kahtaan,Wallahi mara zoote nafarijika na kufurahika mno tuzungumzapo na kubadilisha fikra huku tukitakiana siha njema.

Jazzaal Allahu Khairu.

Ahsanta.

Ijzakallah kheir akhuiy
I do appreciate for everything!
Na inshallah Allah atukutanishe kwa kheri.
Yaa rab.
 
Back
Top Bottom