Watanzania kweli wengi hamjitambui, ukiangalia mnavyo ongelea hili daraja!
Ndio maana mnatoka dar na msafara wa magari kwenda kuzindua visima na madarasa, badala ya kufikri miradi ya vizazi vingi kama kutoa maji ziwa victoria kwenda dar, kujenga ukanda wa viwanda, kutambua kuwa ktk dunia ya leo huwezi shindana kwenye soko ajira na uchumi wa maarifa ya digital kwa kutumia kiswahili na mara moja kubadilisha mfumo mzima wa elimu, bado mna umaskini mkubwa wa mawazo.