Daraja la kilometa 55 lililokatiza bahari...

Daraja la kilometa 55 lililokatiza bahari...

hyassin92

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
581
Reaction score
636
This is high technology I ever seen
tapatalk_1540318845138.jpeg
 
Hivi hiyo si blockage kwa vyombo vingine vya baharini kama meli,boti nk
 
Kwa wajuzi wa mambo hebu tuambieni ni kwanini hawajalijenga likiwa kimenyooka??
ILi kupunguza ajali ambazo zingetokea kutokana na overspeeding na uchovu (fatigue). Hata barabara ya kawaida straight section haitakiwi izidi 2km, ikiwa straight section ni zaidi ya 2km inabidi uweke curve ili kudiscourage overspeeding.
 
Lile kona pale la nini?
Hapo unapunguza uwezekana wa upepo kuweza kuyumbisha daraja.. kumbuka eneo la bahari ndio huongoza kwa upepo mkali.. lkn kama hiyo haitoshi wanaweza kuwa wamefanya hivyo ili kupunguza kasi ya magari.. lkn kubwa sio hilo ni kuweza kuhimili hali ya hewa ya eneo husika..
 
Back
Top Bottom