Daraja la Kigamboni ni White Elephant Project, Hatulihitaji!

Daraja la Kigamboni ni White Elephant Project, Hatulihitaji!

ungeweka 'opportunity cost' kwa tarakimu za hyo miradi watu wangeamini wewe ni great thinker,tofaut na hapo unaonekana akili zako zinafikiri kwa nguvu ya pombe ya mnazi tu
Acha kumdharau inaonekana we ndo bure kabisa.
 
JIBUNI HOJA ZA MDAU NA SI KUMSHAAA ... HOJA YAKE INA MASHIKO, TUPENI ZENU MNAOMPINGA!!


Nielewavyo mimi hilo daraja baada ya kukamilika kila gari itayopita italipia isipokua watembea kwa miguu kifupi limejengwa na NSSF kilicholengwa ni maslahi ya daraja ili serikali kuilipa NSSF[/QUOTE]
mbona kivuko unalipia,umezowea bure eeh? Jenga wewe watu wapite bure
 
Oh My God! Siwezi hata kufikiri kwamba kuna kiumbe anaye weza kuja na hoja kama hii. It's a total embassment. I thought hii forum ni ya Great Thinkers. What a waste of time!

Think about congestion ya traffic in the inner city. Think about mafuta yanayo potea bure kwenye hizo foleni, think about kuboresha sehemu zingine za jiji, think about maendeleo ya satellite cities, etc. Halafu eti unasemaje???
Huyu jamaa angeishi Kigamboni na akawa anatumia gari,,siku moja akute foleni iko geti la ikulu then asubiri masaa matatu na nusu kuingia kwenye pantoni asingefuka kiasi hicho.Mimi daraja jipya ninakataa tu pesa ya kulipia magari kuvuka maana naona na vibanda vya tiketi wamevijenga.Kwani Hela ya road licence inayolipwa kila mwaka ni ya nini!!
 
Hujanielewa nimejibu hoja ya kusema halina maana hilo daraja
 
Barbarosa

Wengi humu na dhani hawajaelewa hoja iliyopo mezani..
Mimi kwa maoni yangu hili daraja Lingekuja pale tuu Jiji litakapoweza kutatua tatizo la msongamano hasa kwenye makutano makuu,
hilo lingewezekana kwa kufungua barabara za michepuko ambazo kwa sasa ni mbovu kutupa, Lingine tungewekeza kwenye flyovers na Lamwisho huu mradi wa DART utasaidia sana kuondoa foleni ndani ya CBD..

Kihualisia hili daraja halitakua na effect yeyote kwenye kuondoa foleni ukizingatia Hatahao wakazi waKigamboni watavuka nakuja kukwama kwenye Foleni..
ongea kwa takwimu,wangap wanavuka pale ferry? Muda wanaopoteza kungoja kivuko na folen inayosababishwa inagharimu kiasi gan? Je kwa muda wa miaka mingap ijayo itagharimu kiasi gan? Sio nadhan nadhan..kwani flyover hazjengwi!? Nyie mbona hampendek!! Lingejengwa kenya au rwanda mngesifia
 
Mradi wa Bil 200 kwa wakazi wasiozidi laki tano (5)...

Ni usanii wa hali ya juu.
..Kuitwa daraja la kigamboni haimaanishi ni la wakazi sa kigamboni. Kimsingi daraja hili limejengwa bayana kusiidia utanukaji wa biashara zinazoendana na bandari yetu. Hasa ukizingatia upande wa mjini kumeshatumika vya kutosha ktk maeneo yake. Kama uwekezaji wa Icd au maeneo ya maghala ya mafuta pia maofisi. Mradi huu utaudumia mtanuko wa kiviwanda utakaoanza kuonekana upande wa Kisiwani na vijibweni ambazo ni maeneo ya viwanda.Basi ktk kitu nssf wamefanya for the past five yrs naweza kuliweka daraja ktk nafasi ya pili au yakwanza kabisa. Katika uboreshaji wa huduma za nchi na utoaji huduma pia.
 
Nielewavyo mimi hilo daraja baada ya kukamilika kila gari itayopita italipia isipokua watembea kwa miguu kifupi limejengwa na NSSF kilicholengwa ni maslahi ya daraja ili serikali kuilipa NSSF
mbona kivuko unalipia,umezowea bure eeh? Jenga wewe watu wapite bure[/QUOTE]
Miundo mbinu barabara, madaraja, vivuko na reli haitakiwi kutozwa unapo tumia ni kazi ya serikali na tunalipa kwa Kodi zetu.
 
Mkuu huo ni umimi huwezi kusema daraja la kigamboni lisijegwe coz weewe iko bagamoyo uwekewe drt au hadi vivuko vizame ndo ujenge daraja kah
 
Nielewavyo mimi hilo daraja baada ya kukamilika kila gari itayopita italipia isipokua watembea kwa miguu kifupi limejengwa na NSSF kilicholengwa ni maslahi ya daraja ili serikali kuilipa NSSF
mbona kivuko unalipia,umezowea bure eeh? Jenga wewe watu wapite bure[/QUOTE]
Hapo hukunisoma vizuri nimejibu hoja. Ya wanaosema halikupaswa kujengwa
 

Haujanielewa sijasema kwamba daraja siyo muhimu kwa wakazi wa Kigamboni La Hasha! Bali nimesema siyo muhimu kwa Mji wa DSM kwa ujumla wake kwa maana watumiaji wa hilo daraja hawafiki hata asilimi 10% ya wakazi wote wa DSM na hawo ambao unasema wanatumia Pantoni hata baada ya kukamilika kwa hili daraja bado asilimia 90 % yao watakuwa bado wanatumia hizo pantoni na msongamano utakuwa pale pale na ndiyo maana nasema kama lengo lilikuwa ni kuboresha usafiri jijini DSM ili kuchangia uchumi wetu basi tumepoteza fedha tu kwani kuna maeneo mengi ambayo hizi fedha zingeweza kupelekwa na kutoa mchango mkubwa zaidi, kama vile mradi mpya wa DART!
Mtazamo wako ni mzuri kadri ya uwezo wako wa kufikiri,ila kumbuka mradi huu haukubuniwa na watu ambao hawakwenda shule,Uchambuzi yakinifu wa mradi ulifanyika kabla na kupima matokeo yake kama ni hasi au chanya.Mtaji wekezwa(Captal Invested) katika mradi huu lazima imenyambulishwa utarudishwa vipi na kwa wakati gani.Sasa mtazamo wako upo katika idadi ya watu waliopo kigamboni,wenzako wamefanya projection ya zaid ya miaka 20 na kuangalia trend ya ukuaji wa jiji la Dsm.Nakushauri ungetafuta maadiko ya mradi kabla ya kufanya conclusion.Wewe unaongozwa na macho wenzako wanaongozwa na Tafti.Fedha hizi ni za wastaafu wa badae hakuna shirika linaloweza kuinvest 200bil,huku likijua linawajibu wa kuzirudisha alafu wanawekeza bila tija.
 
mbona kivuko unalipia,umezowea bure eeh? Jenga wewe watu wapite bure
Miundo mbinu barabara, madaraja, vivuko na reli haitakiwi kutozwa unapo tumia ni kazi ya serikali na tunalipa kwa Kodi zetu.[/QUOTE]
serikali yako imeshndwa kujenga ikaomba msaada,kama mkataba unasema mulipie lipieni
 
Mkuu huo ni umimi huwezi kusema daraja la kigamboni lisijegwe coz weewe iko bagamoyo uwekewe drt au hadi vivuko vizame ndo ujenge daraja kah
Kulikuwa na uwezekano wa kujenga daraja la kawaida na barabara pale mtoni Kijichi ambapo ni mradi uleule wa mji mpya wa KDC.
 
Miundo mbinu barabara, madaraja, vivuko na reli haitakiwi kutozwa unapo tumia ni kazi ya serikali na tunalipa kwa Kodi zetu.
serikali yako imeshndwa kujenga ikaomba msaada,kama mkataba unasema mulipie lipieni[/QUOTE]
Basi wangefanya kama nilivyo shauri barabara ya mtoni Kijichi mji mpya wa Kigamboni.
 
serikali yako imeshndwa kujenga ikaomba msaada,kama mkataba unasema mulipie lipieni
Basi wangefanya kama nilivyo shauri barabara ya mtoni Kijichi mji mpya wa Kigamboni.[/QUOTE]
tatizo huyajui ya ndani,umekua kama mtu anaesubiri kupewa taarifa 'kule chumbani' knaendlea nn
 
Basi na cc wakazi wa Tandale tujengewe daraja la kutuunganisha na lile la Manzese ...Tumechoka msongamano wa baiskeli huku kitaa tukitaka kwenda kuuza sura pale Manzese darajani
 
Watu wengine bhana, yaan wao ni kupinga tu kila kitu. Bora ungekuja na argument ya "COST" kuwa ni kubwa mno so pengne kuna upigaj ndani yke ndo tungekuelewa.

Inaelekea kwanza wew hta matumiz ya muda ni SIFURI coz lait ungejua thamani ya mda unaopotea pale tunapokaa na kusubir panton usingesema hvo. Si hivyo hebu fikiri gharama inayotumika pale kila siku, ni pesa ngap inapotea? Hebu kuwa na logical argument basi!
 
Basi wangefanya kama nilivyo shauri barabara ya mtoni Kijichi mji mpya wa Kigamboni.
tatizo huyajui ya ndani,umekua kama mtu anaesubiri kupewa taarifa 'kule chumbani' knaendlea nn[/QUOTE]
Unataka yapi ya Mustapha Mkulo?
 
Back
Top Bottom