Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,462
Mkuu, labda tueleweshane, ni mji gani mkubwa duniani ambao unaufahamu ambao uko kando ya bahari kama Dar es Salaam wenye metro? Nafikiri tabia ya nchi, udongo na miamba una nafasi kubwa sana katika hilo la kujenga metro. Halafu huo umeme wa kuendesha hayo ma train hatunao bado. Labda unachosema wewe ni kwamba tuanze kwa kuangalia upper stream devlelopmental investments?
Ndugu yangu twaweza jadili kuhusu umeme wa uhakika labda, lakini kuhusu bahari halina maana,
Nchi kama uingereza, Japan ni visiwa kabisa, zina metro za kutosha, mji kama dubai wamepitisha train juu ya bahari kabisa kuunganishia upande wa pili wa mji wa sharjah, vipi wameweza!?
