Dar Wing huo mwaka unajongea!

kabla au baada ya kulipa ada za watoto...?
 
Tuko pamoja wakuu wa makuhani, naona tarehe 7 jmosi au 9 j3 zinaweza kuwa poa mbele zaidi ya hapo nahisi wengine wanaweza wakawa washakwea fastjet

Nafikiri tukipata bei za vitu za eneo husika tunaweza kuseti kiwango cha mchango kwa kila member
 
Tukifanya january kama kipindi kilichopita kuna tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Pale jangwani sea breeze pamekaa poa. Sema tatizo ni usafiri so patatulimit muda wa kumaliza party. Tungetafuta katikati ya mji ili kuwezesha hata sisi watembea kwa daladala kuja. Mia
 
Last edited by a moderator:
Tukifanya january kama kipindi kilichopita kuna tatizo?
Kuna tatizo upande mmoja kwanza tunawanyima fulsa wale wanaotarajia kuja dar kukosa flusa hii maana wengi wanakuja dar kusherekea sikukuu!!Na january wanarudi makazini na vitu kama hivyo!

Tuko pamoja wakuu wa makuhani, naona tarehe 7 jmosi au 9 j3 zinaweza kuwa poa mbele zaidi ya hapo nahisi wengine wanaweza wakawa washakwea fastjet

Nafikiri tukipata bei za vitu za eneo husika tunaweza kuseti kiwango cha mchango kwa kila member
Hivi nivitu vya kujadili maana kwa tarehe hizo mimi naona kama ni karibu sana!

tufikieni basi conclusion
Twambie wewe mawazo yako yakoje na unaona nini ifanyike??

Mkimaliza kudiscuss mtatualika na sie wa mikoani.
Mnakaribishwa kuja kushiriki maana nanyie mnahitajika lengo nikujenga familia moja!

kabla au baada ya kulipa ada za watoto...?
Hada maranyingi huwa ni january hivyo November,Mwanzo mwa December inawezekana

Hii imekaa vyema sana....... Mwaka huu lazima ning'oke na Madame B
Changamka basi na mchango unatakiwa umlipie mapema!

Pale jangwani sea breeze pamekaa poa. Sema tatizo ni usafiri so patatulimit muda wa kumaliza party. Tungetafuta katikati ya mji ili kuwezesha hata sisi watembea kwa daladala kuja. Mia
Nivizuri lakini mjini unadhani mjini sehemu gani??Je escape1
 
Itakua poa sana, ila mkuu naomba brief ya last meeting ilikuaje!
 
Nadhani tukifanya kabla ya sikukuu za mwisho wa mwaka itakuwa vyema KakaKiiza
Hata mimi naona hivyo Mkuu itakuwa poa sana!

naafikiana na hili!

Hujambo mchumba?!?
Ehee mchumba tena>>>>Ref/White Party!lol

hehe...mie sijambo mchuchu...mapenzi yetu mpaka party eeeh
Subiri uasikia Shikamoo naomba Mia!!!!

Utakuwa na wachuchu wangapi wewe? Mbona hutulii?
Mwajuma ndala ndefu!ngoja awapange vipi kakudhuru mmekutana kwenye kona??ahaaaa
 
Hata mimi naona hivyo Mkuu itakuwa poa sana!

Ehee mchumba tena>>>>Ref/White Party!lol

Subiri uasikia Shikamoo naomba Mia!!!!

Mwajuma ndala ndefu!ngoja awapange vipi kakudhuru mmekutana kwenye kona??ahaaaa

shkamoo kaka! unakumbuka eeeenh?!?!?
 
Nadhani tukifanya kabla ya sikukuu za mwisho wa mwaka itakuwa vyema KakaKiiza

menaona bora mwakani maana wengine mwezi wa 12 lazima tukasalimie.

Namchango ukiwa 30,000 si mbaya na tuwape watu muda wa kijiandaa na kukusanya michango,

Pia nafikiri tunahitaji simple party as white party.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…