tupange tarehe
Chagua tarehe maana wewe ndo mdautupange tarehe
hapana dadayngu kwanini usisomeke??hapana usifanye hivyo!!mimi nakuomba kwa heshima zote!mmmh!!
nahisi sisomeki vile
Mimi kwa jinsi nilivyo ona nimeoma hiwe hivyo kwa wengi xmas wanakuwa wametoka ndomaana hata hizi party za family day hufanyika before x-mas hivyo na mimi nimeona hiwe hivyo au wewe unasemaje?Yap.Tupange tarehe ya kupanga mambo.Halafu umesema kabla ya Xmass na sio baada ya mwaka mpya!?
Hizo sehemu ni viwanja vya beach escape1 iko kabla yakuvuka daraja la kawe jkt mkono wa kulia kama unaenda kawe!na escape2 ipo jangwani seabreez!Mkuu najua utakuwa umenipata!!Escape 1 or 2 ndo wapi!??
Kwangu vyovyote sawa tu,ila ingekuwa poa zaidi ingekuwa kabla ya XmassYap.Tupange tarehe ya kupanga mambo.Halafu umesema kabla ya Xmass na sio baada ya mwaka mpya!?
Kumbuka mipango ilikuwa iwe mwaka jana lakini kutokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wetu ndo maana tukapeleka mbele mwanzoni mwa mwaka huu!!Lakini yote yana jadilika!Kama ni mjumuiko wa Kebby's basi tulikutana mwaka huu mwanzo sio mwaka jana
Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje?
cc
Mtambuzi, Asprin, Paloma, gfsonwin, Madame B, kipajihalisi, Zion Daughter amu, Ladyfuraha, @bijibuji, Ruttashobolwa
Mi nawaangalia tu!
Kwangu vyovyote sawa tu,ila ingekuwa poa zaidi ingekuwa kabla ya Xmass
yah nipokweli wewe usomeki kwani uko tanzania dar?
yah nipo
kama ni mjumuiko wa kebby's basi tulikutana mwaka huu mwanzo sio mwaka jana