Dar Vs Arusha

what are u talking banah??? Atown ni best.. geneva ya AFRICA tafuta pesa dar nenda kaishi Atown .
 
Pole sana dada.........nami nikija ntakuja kukutembelea........ Stuka! Unaweza kuta ye alikuwa anaongea kawaida we ukahisi anajidai.......... si unajua tena maujanja?..........Naweza kuomba lifti kwenye bajaji yako wakati PRADO nimepaki nyumbani FULL tank......... ni ujanja tu si majivuno jamani....
 
Kama vile kulinganisha:

maji ya bahari na maji baridi
Bata na Kuku
Nyoka na Mjusi
Simba na Abajalo
Yanga na Barcelona

kwa nini huwezi kulinganisha?na je umesoma kwa nn mada ipo coz hizi sehemu mbili ndio zinamtatiza mtoa mada,
 
Hahahahahah! Dah! ngoja wana-apollo wakusome hapa utashaa!
 
arusha rahisi kung'oa mademu wakali kwakuwa hamna ushindani wanaume wao wengi washamba na hawako romantic ila tatizo mademu wa arusha hawahongi!dar kung'oa mizigo wa maana ngumu wanaume wengi wa dar wajanja sound mia ila uking'oa kitu cha ukweli full bata!.....pembezoni mwa bahari ndo kwenye maisha mazuri!
 
pweehh...Asprin umeamkia wapi leo, ucniambia ndicho mnacho/unachojivunia......mtoa thread maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua, popote unapoona patakuletea maendeleo yako ishi!
Dada kwani kuna anayepinga? Tunaweka mchanganuo hapa......... usisahau mie si mzaramo wala mmasai........ mi lichagga asilia toka migombani hukooooooo...... niliyewahi ishi mikoa yote hii. Ukiangalia kwa makini nimechambua kwa kuweka mizania ya mabaya na mazuri............. Nashangaa umekomalia hayo mazuri nliyoyaweka lakini hunisifii kwa hayo mabaya........... Nimesema Dar ni chafu.... Mbona hupingi? .......Wizi...... mafoleni....... et el. We umeona hayo mazuri tu? Wanshangaza!
 

so hayo ndio maujanja yenu, nikidhani maujanja mnapishana mkitafuta kwacha?...kweli uchaga umekutoka sasa, kila la kheri....mtoa mada, maisha ni popote unapoyapatia, unaweza kuishi dar kwa salary ya 3k ikawa shida but hiyo 3k kwa tanga/ruvuma ikawa ishu kutokana na kazi yenyewe, marupurupu, uwezo/njia ya kufanya biznec nje ya kazi yako etc ili mradi upate kujiongezea kipato...my dear angalia penye kwacha. kama dar/ruvuma/kilosa kote ili mradi kutoka....
 

yaani na kuelewa lakini umekosoa sana kama vile hii thread imekosewa,haya babu kama unavyoitwa naomba uendelee kunielewesha
 


mazuri yapi? hahaha kwamba kuna bot/wabunge/sbl?...hivi sbl haifiki kilombero?...hebu huko...pachafu/pasafi/joto/baridi yote poa inategemeana na mtu anavyotaka kuisaka kwacha(kichaga zaidi).....maisha popote kama umeyabamba dar, poa, kama mtwara/ruvuma poa. ishu sio sbl/tbl/MP/kuchafu/kusafi.....sawa wewe chasaka?....
 


inackitisha sana, cjui wengine wanafikiria kwa ku2mia nn....cjui kwa kweli but inatia huruma sana kama ndio m2 anaweza kufikiria kwa kiwango hiki!..
 
aisee dar masharobalo na wauza sura wananikera kinoma,arusha nyeusi ngumu hadi wasichana..
 
Koooooote huko poa, lakini kukaa mbali na hizo mbingu ndogo kwenye red........NO WAY!!
 
inackitisha sana, cjui wengine wanafikiria kwa ku2mia nn....cjui kwa kweli but inatia huruma sana kama ndio m2 anaweza kufikiria kwa kiwango hiki!..
Mshiki, Dont take JF too serious: Source Kaizer 2011.
 
ritz....hukunielewa...sio kwamba nimemtimua kazi.....
 
A town compare with other cities of da entire world and not Dsm
 

Don't liar, AR kuna foleni tena barabara ni finyu wakati jioni ni shida sio rahisi kupata njia za kuchepuka kama hapa Bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…