arachugga is everything banah,,,,, dar life is more expemsiv than arusha, i assure u that, coz nimewahi kuishi dar, na sasa naishi arusha,,, dar, kodi ya chumba sehemu kama sinza lets say, inarange kwenye 60 mpaka 80, na hapo ni chumba tu, wakati arusha, njiro unaweza kupata nyumba yenye choo, bafu, 1 bedroom, sitting room na kitchen kwa 80 mpaka kilo.. See the difference??, haya, tuje kwenye vitu kama foleni za barabarani, kama unatumia gari yako binafsi, kwa 4len za dar, unahitaji kama mafuta mengi zaidi kwa mizunguko ya kawaida tu kulinganisha na mtu aliyeko arusha, wen it comes to the hali ya hewa again, arusha is better,... Japo kuna vitu vingne ambavyo huku atwn ni bei gali kidogo kwakua vinatoka bandarini - dar, but still it doesnt make that biig difference kiasi icho,, soo, kwangu mimi, arusha is much better than dar