Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,852
Tuangalie upande wa pili huyu mtanzania atatoa upinzani mkubwa wa 'supermarkets' ambazo zimedhibitiwa na makampuni ya afrika kusini.
Huyu bwana anasema anajenga mall. Hao unaowasema ni wapangaji wazuri wa malls. Usidhani kwa sababu kajenga mmatumbi ndiyo hatawapangisha wa Afrika Kusini! Hivi unategemea nani mwingine atapanga kama si hao hao?
Amandla.........