Dar Village Project in Dar es Salaam

tuwe wakwelii mbele za mungu. this project must be there where it is now. acheni ushamba na usiasa usio na kichwa wala miguu. ulitaka nani sasa awekeze kama sio huyu mtanzania mwenzetu????
 
Simu 2000 moja kati ya ufisadi mkubwa wa Mkapa na familia yake , majengo na plot za TTCL katika strategic areas kama vile Msasani,O'bay,city center na kwingineko na viwanja mbalimbali vimeuzwa ovyo ovyo kwa mafisadi. Afadha kile chuo wameuziwa UDSM angalao watoto wetu watasoma pale.Lakini swali kubwa pesa zilizokusanywa zilienda wapi ?
 
kampuni ya Simu2000 Hii ilikuwepo kwenye List ya EPA
attachment.php
attachment.php
 
A fire station for what? people want to shop! NIliandika makala "Taifa lisilojiandaa kwa majanga limejiandaa kwa maafa"! Dar iko karibu na bahari na iko karibu na usawa wa bahari.. hivi kuna emergency evacuation plan ya jiji la Dar in case of a calamity? Kuna ving'ora vya tahadhari? now... (i didn't know this one) kuna fire and rescue brigades za kutosha kwenye mji wa watu karibu milioni 3?

Well, I know watasema nini likitokea janga kubwa Dar.. "jamani haya ni mapenzi ya Mungu"!.. na wakazi wa Dar waliozoea kinyaa watasema "Amen!"

Ya nini yote hayo? bajeti zenyewe bado hazitutoshi, ni muafaka kabisa kuanza kupunguwa kwa majanga kwani uzazi wa majira na mpango hatuutaki.

Anaetowa uhai na anaetwaa uhai ni mmoja tu. Hata ufanye nini.
 
sijui nini kimemkumba jamaa

Nadhani Pesa walizoambiwa werejeshe BOT EPA.....S

Sometime huwa nafikiria na mimi niwe Mwizi manake Hakuna kufungwa na ukifungwa basi ni Mwaka mmoja tu....

Dont try this at Home Ukiiba labda iwe Pesa Nyingi na sio vijipesa utasahaulikia Jela
 
A fire station for what? people want to shop! NIliandika makala "Taifa lisilojiandaa kwa majanga limejiandaa kwa maafa"! Dar iko karibu na bahari na iko karibu na usawa wa bahari.. hivi kuna emergency evacuation plan ya jiji la Dar in case of a calamity? Kuna ving'ora vya tahadhari? now... (i didn't know this one) kuna fire and rescue brigades za kutosha kwenye mji wa watu karibu milioni 3?

Well, I know watasema nini likitokea janga kubwa Dar.. "jamani haya ni mapenzi ya Mungu"!.. na wakazi wa Dar waliozoea kinyaa watasema "Amen!"

Moto unawaka KIbamba na foleni ya Ubungo zimamoto linatoka Ilala fire pale.

Likifika watu wanalitungua na mawe kwa hasira.
 
Naomba kuuliza hivi ule Mradi wa dar village watu walikopa ama walikua wanatumia hela zao za mfukoni?

kama walikopa hivi sasa ivi wanarejesha mkopo ama dhamana zao zimeuzwa mkopo ukarejeshwa?

Kama hayo yote hayajatokea je wanarejesha kwa vyanzo gani ilihali mradi hujakamilika hivyo haugenerate revenue?

Je inasubiriwa EPA ingine umalizike? ama inakuaje ........

Naomba kufahamishwa kwa wenye uelewa wa mradi ule hatua iliyofikia kwa sasa.
 
Kwa ninavyofahamu hakuna mfanyabiashara ambaye hapati hasara, kwa Zadock kusuasua katika ujenzi wa Dar Village hilo sidhani kama ni tatizo kwani ni majengo mangapi ambayo yanajengwa na hayakamiliki katika wakati muafaka, lazima kutakuwa na sababu ya msingi maana lengo ni kuwekeza na kukamilisha mradi kwa wakati muafaka ili kupata faida na mengineo.

Huyu ni miongoni mwa wajasiriamali Watanzania waliothubutu kuwekeza na kutumia fursa mbalimbali zilizopo hapa nchini na si kukaa pembeni na kulalamika na kuwa kama mashabiki wa mpira badala ya wachezaji, hivyo anastahili kila aina ya ushirikiano na ushauri wa namna gani ajikwamue katika matatizo aliyonayo na si kumponda.

Kwa sisi wana JF kulalamika na kuponda haisadii sana wakati mwingine tuwaunge mkono watu kama hawa. Tusisahau kwa mlolongo wa kampuni za Zadock kama vile ZEK Properties, A1 OUTDOOR, ZK PR, ZK ADVERTISING, Intergrated Communications na nyingine ametoa ajira kwa watanzania wengi.

Mimi namfahamu vizuri jinsi gani huyu bwana anatoa fursa kwa watanzania mbalimbali ambao wanafanya kazi katika kampuni zake, kwa kweli ana uzalendo na hana mtizamo mbaya juu ya nchi yake kama wengi mnavyofikiria. Kuna wakati aliwahi kumtoa Mkenya kwenye nafasi ya Mtendaji Mkuu katika moja wapo ya kamouni zake na akampa Mtanzania lakini matokeo yake huyo mtanzania alichemsha, sasa hapa wa kumlaumu nani?

Mradi wa Dar Village ni mradi ambao ni endelevu na hata kama lengo la kufungua MAY halikukamilika hilo si tatizo, kwani hata sisi huwa tuna melengo mbalimbali lakini mara nyingine huwa hayakamilki kwa wakati tuliotegemea sasa cha kushangaa Dar Village kutokukamilika ni nini?

Ni kweli kuwa Huyu bwana kunawakati alihamishia makao makuu Joberg, sasa kwa mtizamo wangu hili ni jambo jema na zuri sana kwani mfanyabiashara yeyote ni lazima aangalie wapi kuna fursa za kufanya biashara na la msingi hata akipata pesa ndio kama hivyo anakuja kuwekeza nchini kwake na vijana na watotoo wetu wanapata ajira.

Kwa sasa hivi huyu bwana ni kweli mambo yake hayaendi vizuri kwa sababu mteja wake mkubwa ni kampuni ya ZAIN ambayo inampa biashara katika kampuni zake za matangazo, pr, outdoor advertising, sasa hawa ZAIN walikata bajeti zao kwa asilimia 50% kukabiliana na mtikisiko wa uchumi, na jambo hili lilimuathiri sana kimapato kiasi kwamba ilibidi pia apunguze idadi ya wafanyakazi katika kampuni zake.

Jambo hili ni la kawaida kabisa katika biashara na kwa mtu kama yeye ni lazima ajipange ili kampuni zake zisife na watu wengine waendelee kupata ajira na yeye aendelee kulipa kodi mbalimbali serikalini, bila shaka lengo la mfanyabiashara ni kupata faida lakini pia lazima aangalie pia asije kufunga kampuni zote na akakosa yote.

Zadock amejitahidi sana kwa kweli maana alipotoka ni mbali tangu enzi za kupiga picha, wale vijana wa tazara watakuwa wanamjua, kwa msukosuko huu tumeona nchi nyingine matajiri wanajiua na mambo mengineo lakini MWANAUME HUKIMBII MATATIZO, HONGERA SANA ZADOCK...

Hongera Zadock
 
A fire station for what? people want to shop! NIliandika makala "Taifa lisilojiandaa kwa majanga limejiandaa kwa maafa"! Dar iko karibu na bahari na iko karibu na usawa wa bahari.. hivi kuna emergency evacuation plan ya jiji la Dar in case of a calamity? Kuna ving'ora vya tahadhari? now... (i didn't know this one) kuna fire and rescue brigades za kutosha kwenye mji wa watu karibu milioni 3?

Well, I know watasema nini likitokea janga kubwa Dar.. "jamani haya ni mapenzi ya Mungu"!.. na wakazi wa Dar waliozoea kinyaa watasema "Amen!"
Aisee
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom