FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Sakata la vijana watano kupotea Dar, mmoja wa wazazi hataki jina la mwanawe kutumika mitandaoni
Hii ni kwa mujibu wa matangazo yaliyorushwa LIVE leo saa tano asubuhi. kupitia online radio ya Global online radio & TV broadcast. Watangazaji walifika eneo la familia moja ambapo wazazi na wanafamilia wa vijana wanne kati ya watano walikuwa pamoja akiwemo Baba wa kijana mmojawapo...
www.jamiiforums.com