DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

Siku hizi raia kupotezwa imekuwa kawaida. Hakuna anayejali. Kama watu wamematwa Kuna shida gani polisi kusema?. Kama walikuwa Ni wahalifu so wafikishee mahakamani kuliko kuwaweka muda wote huo.
Eti mkuu!

Alafu walisema awamu ya 5 ndiyo ilikuwa inapoteza watu. Sasa hii nayo ni awamu ya 5?

Watz wakishiba mbaazi/dengu.... vidole vyetu vyote puani siku nzima.
 
Back
Top Bottom