Je walipatikana?
Walikamatwa na polisi au kusoma hujui
Watanzania uwa hatutaki kujua mwisho wa mambo hata waandishi wa habari uwa hawafuatilii baada ya kutokea habari mpya.Je walipatikana?
Tupo nao tunasaka pesa. Wapo i mtaani wanadunda. Waliibia mzigo watu wasiotaka masikhara.Mpaka leo
Eti mkuu!Siku hizi raia kupotezwa imekuwa kawaida. Hakuna anayejali. Kama watu wamematwa Kuna shida gani polisi kusema?. Kama walikuwa Ni wahalifu so wafikishee mahakamani kuliko kuwaweka muda wote huo.
Kumbe washarudi mtaani tetesi zinasema waliiba nnTupo nao tunasaka pesa. Wapo i mtaani wanadunda. Waliibia mzigo watu wasiotaka masikhara.