Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

Polee sana kwa kuondokewa na ndugu yako. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa Amani
 
Polee sana kwa kuondokewa na ndugu yako. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa Amani
Mungu awafariji na awape nguvu katika kipindi hiki kigumu ndugu jamaa na wanafamilia katika kipindi hiki kigumu
 
poleni sana mkuu Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu chenye majonzi kwenu.
 
Pole sana mkuu kwa kupoteza ndugu, gari la baraka nalikumbuka sana gari la kwanza kutoka lindi saa 12asbu na kufika dar mapema , na la mwisho kuondoka linaondoka saa 8 mchana.
 
Pole sana na mungu amlaze mahali pema peponi ndugu yetu..
 
Pole sana mkuu kwa kupoteza ndugu, gari la baraka nalikumbuka sana gari la kwanza kutoka lindi saa 12asbu na kufika dar mapema , na la mwisho kuondoka linaondoka saa 8 mchana.

Nashukru sana,tayari mwili ushachukuliwa unaletwa nyumbani kwa mazishi.
 
Pole sana mkuu: Mwenyezi Mungu amrehemu ampumzishe salama. Ni ngumu hasa kwa kijana anayeanza maisha.
Mazishi wapi?
 
Basi lililoondoa uhai wa mdogo wangu hili hapa (Baraka Bus)
 
Attachments

  • 1445335980217.jpg
    30.1 KB · Views: 168
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…