Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?


Poleni sana
 
Hapana bro ni kweli na hadi sasa walimu wezake wamedhibitisha ametutoka pia aliyetupatia taarifa hakuomba pesa na ametupatia hadi jina la basi na hospital ulipo mwili.

poleni sana maans sha nusa utapel
 
Ajali ilitokea sehemu inaitwa sinza ukivuka somanga,,, R.I.P kwa waliofariki
 
Pole sana

Asanteni sana ndg zangu


Pole sana mkuu..




poleni sana.




Dah!
Pole sana kiongozi




poleni sana maans sha nusa utapel




Poleni sana




Dah poleni sanaa wafiwa...




Aisee inaumiza, Mungu amuweke pema na awatie nguvu familia yake




So sad, Mungu akutie ng uvu Kipindi hiki kigumu
 
Kifo hakizoeleki. Pole ndugu Mungu awatie nguvu mpite salama katika kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…