Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
- Thread starter
-
- #61
Nimepata sms asubuhi hii mdogo wangu amefariki kwa ajali ya basi lililokuwa linatokea Dar kwenda Mtwara. Maiti ziko hospital gani, aliyenipigia nimeshindwa hata kumuuliza sehemu ilipotokea ajali na jina la basi.
Hivi sasa simpati kwenye simu, simu ya bwana mdogo tangu jana haipatikani japo mchana akitoka Dar waliwasiliana na dada. Ma rafiki zake walioko Mtwara hata wao wanadai mawasiliano yalikata gafla.
Nisaidieni mlioko huko na tushamtuma dada yetu yuko njiani kwenda huko Mtwara na huku tukielekea stand kuanza safari.
Baraka ni basi litokalo Lindi kwenda Dar na kurudi tena Lindi, haliendi Mtwara. Ni mini bus! R.I.P mdogo wetu!
Bwana mdogo!!! Tangulia ndugu yangu
Pole sana mkuu.
Pole sana Kamanda..
Poleni sana kwa msiba huu ,Mungu awatie nguvu muweze kufanikisha yote katika kumpumzisha katika Nyumba ya milele!
Pole sana mkuu, R I P mwalimu
Pole sana ndugu yangu, Mungu awafariji na kuwatia nguvu, huu ulimwengu siyo mahali salama kabisa kwetu sisi cha kufanya tumche Mungu kwa akili zetu zote, kwa nguvu zetu zote, kwa mioyo yetu yote na kwa roho zetu zote, Mungu ampumzishe ndugu yetu na wote waliofariki katika ajali hii amen
pole sana mkuu kwa msiba huo
pole sn, r i p mwlm tegemeo la vijana.
Poleni Sana
pole sana mkuu
Pole sana mkuu
Dahh Inaumiza Sana Mkuu.....inaumiza sana sana! Pole sana Mkuu...Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki kigumu! Mungubail
Jamani so sad! Poleni sana Mkuu. Mungu awape faraja katika wakati huu Mgumu wa majonzi.Duuu!! Mkuu bro amefariki akiwa na basi liitwalo: Baraka Bus, maiti iko Kilwa Kivinje Hospital wamefariki sita!! Nimempata kwenye simu aliyenijulisha ajali.
Duuu!! Mkuu bro amefariki akiwa na basi liitwalo: Baraka Bus, maiti iko Kilwa Kivinje Hospital wamefariki sita!! Nimempata kwenye simu aliyenijulisha ajali.
Ajal iltokea majira ya saa tisa alasr maeneo ya mto matandu ambapo shughul za ukarabati wa barabarani znafanyika . Chanzo ni mwendo mkal, ambapo gar liliacha njia na kuingia ktk calvat. Daily route ya bus ni dar lindi mjn to nachingwea, awali lilikuwa dar kilwa masoko
Pole sana kwa msiba