data JF-Expert Member Apr 9, 2011 26,151 22,726 Apr 8, 2022 #121 Marco Polo said: Hii inaniumiza sana tumeshafanyiwa mengi mabaya na hawa viongozi wetu ila cha ajabu tumetulia tu sijui tumelogwa. Click to expand... Inatisha! Can you imagine!!!? Tumefanywaje CCM!??
Marco Polo said: Hii inaniumiza sana tumeshafanyiwa mengi mabaya na hawa viongozi wetu ila cha ajabu tumetulia tu sijui tumelogwa. Click to expand... Inatisha! Can you imagine!!!? Tumefanywaje CCM!??
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Oct 31, 2021 4,138 10,539 Apr 8, 2022 #122 Naogopa sana kuwekeza kwenye masoko Dar.
D Deceiver JF-Expert Member Apr 19, 2018 9,449 16,955 Apr 8, 2022 #123 Kama wale mateja hamkuwachukulia hatua mnategemea nini? Nyani ni wa kucheka nae? Au stori ya mateja ilikua chai ya rangi?
Kama wale mateja hamkuwachukulia hatua mnategemea nini? Nyani ni wa kucheka nae? Au stori ya mateja ilikua chai ya rangi?
Auz JF-Expert Member Apr 6, 2016 13,188 10,915 Apr 9, 2022 #124 Tipstipstor said: Hali ilivyokuwa leo hii, soko la karume, dar es salaam. View attachment 2179993 Click to expand... Wazima moto na askari wamesimama wima!
Tipstipstor said: Hali ilivyokuwa leo hii, soko la karume, dar es salaam. View attachment 2179993 Click to expand... Wazima moto na askari wamesimama wima!