Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania
Naichukia sn hii kazi.
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Umemaliza Depo lini constebo usie na akili???
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Ok kabla hawajafanya hiyo zitashuka drone toka mbinguni, zitawachakaza. Hawataamini bora waachane na na mikwara mbuzi, casualties itakuwa ni 20 /80%
Watumia zaidi nyie askari wazalendo kataeni kuwadhuru ndugu zenu, la sivyo mtatapata madhara makubwa zaidi
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.

Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.

Hahahaha. Jeshi lakiwaki kuwahi kutokea duniani. Yani kujirusharusha hapo na viribatumbo vyao ndio wanaona kuwa wanatishia watu.

Kweli ukiwa na akili finyu ni uozo mtupu.
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.

Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.

Huo upuuzi polisi wanafanya ni bora wangetumia hiyo nguvu kumkamata aliyejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini. Nyie ndio mnafanya wazungu waendelee kutuita manyani.
 
Hawa boko haram wana hamu sana ya kichapo

Polisi wanafanya maigizo ya kitoto kupambana na watu wasio na silaha, wakati kuna mtu amejiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, na hakuna lolote wamemfanya. Hao polisi wanaficha udhaifu wao wa kiutendaji kwa kuwafurahisha majizi ya kura. Hiyo Cdm haina mbunge hata mmoja, lakini promo lake sio la nchi hii. Kwahiki kinachoendelea naiona ccm ikifika tamati hivi karibuni.
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.

Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.

Acha ujinga kujengea hofu watu, acha tuendelee na shughuli za maisha
 
Back
Top Bottom