Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.

Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.

Wafanye ya shuruba kabisa,kwani yautayari mepesi,kwani mziki wa katiba mpya sii wa mchezo mchezo.
 
Sina hakika ya haya maandamano ya kwenye Jamhuri JF tutayaona mahakama ya Kisutu. Tuendelee tuu kupamba humu kwenye kurasa za JF na kuhamasishana.
Tunaendelea kuona picha isiyo timia.
 
Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu.

Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.

Umetumwa wewe!!

Kwani kosa gani mtu kwenda mahakamani!!
Mahakama ni public area.

Kutojitambua na kujua haki zako ni ugonjwa mbata kuliko Korona.

Kwani hao polisi ni vichaa kuwa wakiona watu tu wanawapiga? Wanatakiwa kufuata sheria za nchi, mafunzo yao na PGO.

Kaxi ya Polisi ni kulinda raia sio kuwadhuru.
Nchi hii ni ya kwetu wote

Katiba mpya ni muhimu sana kwa sasa!!
 
Sina hakika ya haya maandamano ya kwenye Jamhuri JF tutayaona mahakama ya Kisutu. Tuendelee tuu kupamba humu kwenye kurasa za JF na kuhamasishana.
Tunaendelea kuona picha isiyo timia.
Mapichapicha tu mkuu....

Waandamanaji wa mapicha.... 🤣
 
Chadema ni lazima wajue kuwa....

Vox populi vs dictates of the law

Mahakamani si sehemu ya mikusanyiko mikubwa.....

Mahakamani si sehemu ya kufanyia maandamano....

Nini maana yake ?!!

........huweza yakaingilia maamuzi ya majaji kwa shinikizo la waandamanaji......

#NchiKwanza
#UtiiWaSheriaBilaYaShuruti
 
You have said it well
 
Ila uyo kamanda amepoa sana sisi hatujazoea ivo yani tumezoea kupewa vijembe vitisho kidogo kufokewa ila huyu wa sasa jamani
 
Hii ndiyo kazi namba 1 ambayo policcm wanaimudu kwa 100%! Ila ukiwaambia wawatafute waliompiga Tundu Lissu risasi, unakuta wanang'aza ng'aza tu macho!

Eti "tunamtaka dereva na yeye mwenyewe waje kutoa ushahidi" Sasa ingetokea wamekufa wote siku ya tukio!! Mbona Rais wa Haiti ameuwawa, lakini wahusika wametiwa mbaroni?

Generali wa Museveni alishambuliwa kwa risasi, watuhumiwa wametiwa mbaroni! Wa Tundu Lissu, hawajulikani!!!
TanPol ndio jeshi la polisi la hovyo duniani.
Huwezi kuchukua watu wanaoshindwa kupata "C" tatu kwenye mtihani wa kidato cha nne,ukategemea watu hao wawe walinzi wa "utii wa sheria bila shuruti".
 
Hii ndiyo kazi namba 1 ambayo policcm wanaimudu kwa 100%! Ila ukiwaambia wawatafute waliompiga Tundu Lissu risasi, unakuta wanang'aza ng'aza tu macho!

Eti "tunamtaka dereva na yeye mwenyewe waje kutoa ushahidi" Sasa ingetokea wamekufa wote siku ya tukio!! Mbona Rais wa Haiti ameuwawa, lakini wahusika wametiwa mbaroni?

Generali wa Museveni alishambuliwa kwa risasi, watuhumiwa wametiwa mbaroni! Wa Tundu Lissu, hawajulikani!!!
Siro anatumika na Sukuma Gang kumhujumu Rais Samia,ila Mama anaona wanamsaidia kuwakomoa Chadema. Na kwa kiasi kikubwa hii kampeni yao imefanikiwa kwani Mama kaingia mzima mzima kwenye huu mtego.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom