Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Bashite si darasa la saba.

Alifeli darasa la nne tunaambiwa.
Hivi huyu mtu kazaliwa kolomije halafu anasumbua hivi vipi.kama angezaliwa agakhan si tungekuta amehamia ikulu kama wale ndege tausi
 
Fanyeni kazi.Mambo ya Makonda hayatabadirisha umaskini wako.
Aisee tuheshimiane unaniambia nifanye kazi nakula kwako? Wewe fanya kazi ujitoe kwenye huo umasikini au unadhani kila mtu ni masikini kama wewe?
 
Sasa mbona mnatuchanganya?si nilisikia jamaa kaishia darasa la NNE?yakwamba alishndwa mthn akasepa?
 
Kama kumbukumbu haziko NECTA basi alisoma O-level nchi za nje.. Ivi haiwezekani watu wakapekua kule Ushirika Moshi wakaona application yake aliamatisha vyeti gani vya secondari?
 
Tunakula kwenu?
Wote mnaofuatilia habari za huyu kiumbe hamna kazi za kufanya.Pia nahisi mnasumbuliwa Na mambo mawili.
1.Kuna wanaomuonea wivu jamaa kwa Ku win haraka kimaisha,kwa kutumia opportunities ambayo mwenye nchi amempa.

2.Wengine ni wale waliothirika kwa namna moja au nyingine,baada ya Dogo kutia mchanga biashara ya Ngada.

Fanyeni kazi watanzania.Tafuta pesa kwa vyovyote ujuavyo,
 
Chadema ni Chama pekee Mwenyekiti wake alipata ziro kidato cha sita
 
Hivi huyu mtu kazaliwa kolomije halafu anasumbua hivi vipi.kama angezaliwa agakhan si tungekuta amehamia ikulu kama wale ndege tausi
Haaha.

Mbona Nyerere kazaliwa Butiama kasumbua bongo miaka 24 kama rais?
 
Back
Top Bottom