Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Bashite si darasa la saba.

Alifeli darasa la nne tunaambiwa.
 
Na haya feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
519428ea77bfcd66e38cda0b110af5be.jpg
Necta wanasema hawatambui daud bashite, wala Paul makonda .sasa hayomatokeo in ya kutoka wapi au nayo bashite part two
 
Kama necta hawana hayo majina Gwajima cheti chenye jina la Daud Bashite tena kikiwa na 0 alikitoa wapi? na je necta utoa vyeti vya mwenye 0?
 
Kwa utendaji wake anawazdi hata ma prof na ma doctor, wacheni RC wetu achepe kazi, sisi tunampima kwa utendaji wake hatuhangaiki na vyeti , vyeti anajua aliyemteua!! Sisi wana nchi tunaridhishwa sana na utendaji wake ulio tukuka!!!
Kamwe asikatishwe tamaa na wabaya wake
 
Nimegundua hili jina langu la "Chifu77" halitanifikisha mbali. Kama bashiite aliyefeli darasa la saba kabadili jina na kufikia kuwa RC wa Dar, jiji kubwa kuliko majiji yote Tanzania.

Nami kuanzia leo naapa kuwa "Chifu77" sio jina langu... nitaitwa "trump"
 
Unapenda habari ya kumsifu Bashite! hebu tuambie ana elimu gani zaidi ya la saba
Bashite hata elimu ya darasa la nne alifeli akabahatisha kufika la 7 kwa mipango! Akafeli kwa hiyo hata cheti cha darasa la 7 hana!
 
Watoto wamejaa humu Jf kila kukicha kujadili mambo ya watu badala ya maendeleo, hebu vijana wangu tujaribu kutumia fursa hii kupost threads zenye kuelimisha. P/se let us be real great thinkers.
 
Kawekeni mabango majiji yote Tanzania na tengenezeni matangazo kwa Tv na Radio stations. Naona hapo mtasikika
Unajua mnajua kuwa Watanzania baada ya kumnyimwa elimu basi wanaishia kwa matukio. Mkaona hili mlisahaulishe kwa kwenda kuvamia Kituo lkn ndio mkaongeza moto, mkaleta mabadiliko ya mawaziri napo imeshindwa kufuta Bashite, mkaleta sijui kutimbua majipu wapii watu wanaye tu, mmeleta la bastola haijabamba, mkakimbilia mchanga watu wapo nae tu.... Asante Watanzania.
 
Bashite Albert.....siku Paul atakapoamua kuamka na kudai vyeti vyake sijui takuwaje! Pia awamu hii ikiisha ataenda kujificha wapi?? Huyu kichwa dharau ana kazi sanaa sijui takuwajee Bashite our First Boy Lady and Gentleman
 
Watoto wamejaa humu Jf kila kukicha kujadili mambo ya watu badala ya maendeleo, hebu vijana wangu tujaribu kutumia fursa hii kupost threads zenye kuelimisha. P/se let us be real great thinkers.
Tunajadili vikwazo vya maendeleo ya elimu,au wewe unadhani maendeleo ni kujenga madaraja tu,
 
Back
Top Bottom