Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Uzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.

Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti

Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.

Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.

Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba

Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!

Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?

Jioni Njema wakuu
Nenda Nairobi kamjulie hali Tundu Lissu ,hizo habari za mkuu wa mkoa hazitusaidia wangapi wamesoma na wameshindwa kudeliver?Makonda ni mchapa kazi hodari angalia mambo anayoyafanya jijini Dar Es Salaam,chuki binafsi zako hazitusaidii wala hazimfanyi Makonda ashindwe kufanya kazi wewe endelea kuloloma na kushinda humu mitandaoni kwa kupoteza bundle zako kwa gubu lako dhidi ya Makonda,haya tuambiwe wewe uliyesoma una nini cha zaidi kama si kuleta ujinga kila siku humu mitandaoni,hangaika na ya kwako badala ya kupoteza muda kwa kuhangaika na ya wengine
 
Mimi nachapa kazi sana ila fagio la vyeti feki limenipitia; sasa mbona wengine tena wa la saba wanapona? Nchi ina sheria mbili?
 
Hivi Huyu RC anatumia nickname au fake name..?

Nauliza tu

mkuu wa mkoa pekee anayetumia aka.. badala ya jina lake la kuzaliwa... pengine yupo huru kuwa ivyo maana ht mawaziri nao wanatumia majina ya wengine...
 
Kwani inatakiwa Darasa la ngapi mambo haya nayo yaishie mwisho tukalime mihogo mkuranga
 
Mimi nachapa kazi sana ila fagio la vyeti feki limenipitia; sasa mbona wengine tena wa la saba wanapona? Nchi ina sheria mbili?
Huu ndio ule ambao mheshimiwa Mkapa aliuita wivu wa kike. Unabakia na maumivu ya moyoni ambayo hata wale madaktari wa China hawawezi kuutibu.
 
Huyu ndio Grace Mugabe wetu. Kampoteza ben saanane, kamfanyia fitnah Nape, Alitaka kumuua Lissu, na sasa anataka magu atawale maisha na atakapokufa amwachie yeye urais.
 
Back
Top Bottom