Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

Kashindwa mpaka kuzungumzia matokeo mabaya ya form four dar Es salaam
 
Et wamechoka kusikia habar hizi duh zinawakera au ni pro makonda
 
Uwezo WA kutoa maamuzi sahihi kwa wakati na kwa watu sahihi, elimu Ina nafasi kubwa.
 
huku mbeya mjini, mbunge wetu hatujui hata kaishia darasa La ngapi! ila namkubali tu hvyohvyo! dunia duara
Huu uzi ni kwa ajili ya wakuu wa Mikoa.
Kama unataka ya Wabunge anzisha uzi wako tutakuja kuchangia na kukupa List ndefu.
Msukuma,Kibajaji,GoodLuck Kombani etc.
Hapa tumejikita na ma RC Standard Seven kama Daud Bashite
 
Siku zote kazi uipatayo kwa njia ya kunyooshewa kidole/vidole ina matatizo sana
 
Aitwe kilaza hadi atakapotuonyesha cheti cha ubatizo tutajua jina lake ni Bashite au Paulo.
 
Std seven then akafanya kazi ga ulinz pale BP alipoanza kuimba ndio akaenda kukaa usa kwa washkaji akajifunza kiingereza cha kubabia
Huu uandishi huu ni wa mtu Dizaini ya Bashite
 
Kwani Chama Tawala Sera ya elimu Kwa viongozi wake inajulikana ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA vitu ambavyo Bw.Makonda anavijua CCM oyeeee
 
Back
Top Bottom