Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Necta wamesema hawana jina la paul makonda wala daudi bashite.
Na haya feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Necta wamesema hawana jina la paul makonda wala daudi bashite.
We ndezi huyo kachaguliwa kwa sanduku la kura lkn huyo mwingine ni appointee posthuku mbeya mjini, mbunge wetu hatujui hata kaishia darasa La ngapi! ila namkubali tu hvyohvyo! dunia duara
Unapenda habari ya kumsifu Bashite! hebu tuambie ana elimu gani zaidi ya la sabaTumechoka kusikia habari hii
Labda wewe na majini yakoTumechoka kusikia habari hii
Tena elimu yake isiwe ya kuungaunga lakini ajabu ya mungu Dar ina Mkuu wa mkoa aliyezungusha form four hii hataree sanaWe ndezi huyo kachaguliwa kwa sanduku la kura lkn huyo mwingine ni appointee post
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana sio nicknames! Ni asiyependa kuyatumia majina yake halisiMkoa pekee ambao RC wake anatumia nicknames
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana sio nicknames! Ni asiyependa kuyatumia majina yake halisiMkoa pekee ambao RC wake anatumia nicknames
Hii habari itachosha baada ya mtuhumiwa kupata stahiki zakeTumechoka kusikia habari hii
Duh virpba vinakusumbuaUzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.
Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti
Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.
Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.
Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba
Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!
Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?
Jioni Njema wakuu
Sema....kwa kutumia umoja na si wingi.Tumechoka kusikia habari hii
Unamaanisha atakapohukumiwa jela miaka sita?Hii habari itachosha baada ya mtuhumiwa kupata stahiki zake
Jf patamu sana!mkuu nimecheka hadi watu wananishangaa!huku mbeya mjini, mbunge wetu hatujui hata kaishia darasa La ngapi! ila namkubali tu hvyohvyo! dunia duara
Mkuu huyo asitupe tabu atuletee uzi wa Deo sanga a.ka "Jah people" aliyecheza kiduku baada ya kupitishwa kifungu cha sifa ya elimu ya Darasa la saba kwa anayetaka kugombea ubungeThread inahusu wakuu wa mikoa na si wabunge...
Jaribu kuwa muelewa wa mambo, kama unataka kuzungumzia waabunge walioishia la saba anzisha uzi mwingine tutachangia...
Hii picha inachekesha na kutia huruma kwa wakati mmojaOhh Bashiiiite![]()
Hii picha inachekesha na kutia huruma kwa wakati mmojaOhh Bashiiiite![]()
Utafikiri toto linalolilia kunyonyaOhh Bashiiiite![]()