whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,570
- 4,455
Sugu Ni form 4 leaver na hajafoji popote tofauti na Bashite ambae hajulikani kama ni Nyani au Tumbili.
Hili ni Gendaeka
Sugu Ni form 4 leaver na hajafoji popote tofauti na Bashite ambae hajulikani kama ni Nyani au Tumbili.
kweliWa darasa la 7 anaweza akawa the best na ni mchapa kazi mzuri kabisa kuliko aliefika form 6 or chuo kikuu. Ni maoni yangu tu.
Uzuri wa Makonda ni kwamba watu kama hawa huwa anawajibu kwa vitendo, halafu anawaachia kazi ya kutafuta uhalali kupitia maandishi ya hapa jamii forum na kule facebook.Acha uongo hata elimu yako haifiki hata nusu ya elimu ya Makonda,kule Chuo cha Ushirika ulisoma wewe?halafu tuambie mwenyekiti wako Dj kafika darasa la ngapi
Watu wengine hawanazo mkuuUsiringanishe mkuu wa mkoa na Mbunge tumiaga akili
Lissu ameingiaje? tena hapa mkuu,kujenga hoja haujui mpaka umtaje mmeo mwenzio! au Lissu anakufanya haulali kwa kumfikiria kila mara,maana hii ndiyo dalili ya Mtu amuwazae mwenzioNenda Nairobi kamjulie hali Tundu Lissu ,hizo habari za mkuu wa mkoa hazitusaidia wangapi wamesoma na wameshindwa kudeliver?Makonda ni mchapa kazi hodari angalia mambo anayoyafanya jijini Dar Es Salaam,chuki binafsi zako hazitusaidii wala hazimfanyi Makonda ashindwe kufanya kazi wewe endelea kuloloma na kushinda humu mitandaoni kwa kupoteza bundle zako kwa gubu lako dhidi ya Makonda,haya tuambiwe wewe uliyesoma una nini cha zaidi kama si kuleta ujinga kila siku humu mitandaoni,hangaika na ya kwako badala ya kupoteza muda kwa kuhangaika na ya wengine
Mwe!!Kwa mara ya kwanza Nakupinga vibaya sana ! Hakuna Mwanafunzi yoyote aliyefeli darasa la 4 akamaliza Darasa la 7 .
La 7 ni la 7 tu na hauwezi mfananisha na form six labda kama una maslahi binafsi kutoka kwa huyo wa la 7,ndiyo utajitoa akili kwa kulisema hiliWa darasa la 7 anaweza akawa the best na ni mchapa kazi mzuri kabisa kuliko aliefika form 6 or chuo kikuu. Ni maoni yangu tu.
Sugu Ni form 4 leaver na hajafoji popote tofauti na Bashite ambae hajulikani kama ni Nyani au Tumbili.
Aibu gani?Tuangalie namna ya kuficha hii aibu kimataifa
CHADEMA NI KARAIAcha kutudhalilisha darasa la Saba.sisi ni wasafi na tunafanya kazi HALALI.
Sema dar ni mkoa pekee unaoongozwa na mhalifu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona nipo kitambo pande hiziTrump baby mpaka huku!!! 😀😀
Kabisa. Angepita kando kuleee[emoji117] [emoji117] [emoji117]Kama umechoka kweli usingefungua huu uzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona nipo kitambo pande hizi