Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,108
Ohh Bashiiiite
Ohh Bashiiiite
AliasMkoa pekee ambao RC wake anatumia nicknames
Mkuu kayataka mwenyewe na haya hayaishi mpaka aweke chat mezaniHii picha inachekesha na kutia huruma kwa wakati mmoja
Hapo lilikua linamlilia dady amlindeUtafikiri toto linalolilia kunyonya
Hata barabara inayobeba vyombo vya usafiri mda wote kuna mida inapumua!!!ndio wamekuwa majibu yenu,eti fanyeni kaziLeteni story zenye tija ktk taifa la Tanzania...acheni utani kabisa...fanyeni kazi.
Maneno hayo kamwambie Bashite anayeleta utani kwenye suala la ukaguzi wa vyeti aliloanzisha mwanandoa wakeLeteni story zenye tija ktk taifa la Tanzania...acheni utani kabisa...fanyeni kazi.
Wewe na mumeo Bashite sio?Tumechoka kusikia habari hii
Masahihisho - Mtu aliyefeli darasa la 4 haiwezekani kumaliza darasa la 7Uzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.
Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti
Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.
Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.
Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba
Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!
Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?
Jioni Njema wakuu
Na mimi hapaWewe na nani mmechoka?
Tumechoka kusikia habari hii
Std seven then akafanya kazi ga ulinz pale BP alipoanza kuimba ndio akaenda kukaa usa kwa washkaji akajifunza kiingereza cha kubabiaWewe kweli Bashite,hata mada hujaelewa
Mkuu wa mikoa wa wapi huyo,Std seven then akafanya kazi ga ulinz pale BP alipoanza kuimba ndio akaenda kukaa usa kwa washkaji akajifunza kiingereza cha kubabia