Dar ndo jiji pekee ambalo ukibugi umepotea

Dar ndo jiji pekee ambalo ukibugi umepotea

Kuna mwaka fulani nilipanga chumba Mbagala.
Aisee....kweli Dar ni kitonga.
Asubuhi napiga zangu skonzi 3 sh 300 na chai sh 100
Mchana napiga ugali 500 na utumbo wa kuku wa 300 na maji ya kunywa glasi 100
Usiku naenda pale stand Rangi tatu napiga wali harage na samaki kwa 1500 na maji ya uhai ya 500

Nikifika kitandani napiga hesabu jumla nimetumia sh 3300/=

Asubuhi Aluta Continua.

Siku nikipewa ofa naagiza kuku nusu, nusu nakula, nusu nafunga....naenda kuunga mchuzi nyumbani wa mchana na usiku.

Afu ndo mtu ananiambia nihame Dar.
Tutabanana hapahapa.
We ukila kuku nusu...nami nikila miguu na vichwa, wote tumemla kuku.
Ladha ileile.
Hahahahahahahaha haloooooooooooooooo duu umetisha mtoto wa kikuria aroo kujahapa
 
Dar kuna sehem maeneo ya keko kpnd nasoma 5 yrs ago nilikula hela ya twition na ya kula mchana na mshkaj wangu tulikua tunakula ugali wa sh 200, una nyama, kachumbali, maharage na mbg za majani n ngumu sana kuamin ila n kweli, sitak kujiuliza sana n nyama ya nini ila cha msing ninachojua nilikula nyama.

Sitasahau that momments. Ila asikwambie Dar ni kpm cha akili

Hapo ndio ninaposhindwa kuwaelewa mnaposema dar ni kipimo cha akili, mara dar kuishi lazima utumie akili kuliko mikoani, mara kuishi dar lazima uwe mjanja n.k. Kutokana na maelezo yenu inaelekea dar ni sehemu rahisi kabisa kuishi hapa Tanzania ambapo ukiwa na Tsh 1000 tu unapata mlo! Kuna mdau kasema yeye kwa Tsh 3300 tu alikua anakula milo mitatu!! Sasa hapo unahitaji akili gani kubwa kuishi??? Mbona mtu yoyote tu anaweza kupata 3000 kwa siku? Kwa maelezo haya naanza kukubaliana na mdau aliesema kweli dar panawapotezea muda. Kama mtu unaweza kuishi kwa 3000 halafu bado unajiita eti unatumia akili kubwa..
 
dar bna kwa papuchi tu very simple..na watoto wazuri...nipo geita huku...daaaah,sijagonga miezi
geita ina mkusanyiko wa mademu kutoka huko kote unakokusema;ubovu wa geita ni kuwa wakati dsm demu anakukuta gesti analiwa biashara inaisha,geita wanaume wanaanza kwanza kuwalisha bata wauza k''
 
geita ina mkusanyiko wa mademu kutoka huko kote unakokusema;ubovu wa geita ni kuwa wakati dsm demu anakukuta gesti analiwa biashara inaisha,geita wanaume wanaanza kwanza kuwalisha bata wauza k''
Sasa mkuu Geita wanaume wana hela.. kwahiyo kumpa bata demu sio ishu. We unategemea huyu mwanaume wa dar anaekula 3000 kwa siku ana hela ya kumpa demu bata..?
 
Hapo ndio ninaposhindwa kuwaelewa mnaposema dar ni kipimo cha akili, mara dar kuishi lazima utumie akili kuliko mikoani, mara kuishi dar lazima uwe mjanja n.k. Kutokana na maelezo yenu inaelekea dar ni sehemu rahisi kabisa kuishi hapa Tanzania ambapo ukiwa na Tsh 1000 tu unapata mlo! Kuna mdau kasema yeye kwa Tsh 3300 tu alikua anakula milo mitatu!! Sasa hapo unahitaji akili gani kubwa kuishi??? Mbona mtu yoyote tu anaweza kupata 3000 kwa siku? Kwa maelezo haya naanza kukubaliana na mdau aliesema kweli dar panawapotezea muda. Kama mtu unaweza kuishi kwa 3000 halafu bado unajiita eti unatumia akili kubwa..
Umewahi ishi Dar?
 
Kama mambo haya ndo yanawafanya muipende dar poleni sans. Ufukara mwanzo mwisho.
Yaani unajiona kidume kisa umekula miguu ya Kuku.
Offcourse dar ukilizika na maisha ya uswazi poa sana. Maana wapenda miteremko ndo wamejaa dar
 
Kuku sizokuwa na radha, samaki zilizooza na kutiwa viungo shata shatashata, manyanya mabovu yaliopasuka aka masalu,nyama za mbwa,ng'ombe vibudu kutoka singida na kuku zilizojifia kutoka singida Pale pugu.michicha ya maeneo ya uwanja wa ndege, msimbaz nk ya maji taka.Watu wa daa mmejaa sumu mwilini ndio mana mnavitambi.Njooni kigoma mle mugebuka fresh toka Tanganyika hakuna kula samaki alie china kama wale wa japan.
 
Ukiona umeamua




























kuludisha mpira kwa kipa ukiwa ndani ya dsm basi ujue huko Uendako unabidi ukaze buti na kamba .

Maana dsm ndo jiji pekee Tz ambalo mtu mwenye kipato kikubwa na kidogo wote wanaishi.

Hakuna gepo kubwa kati ya walionacho na wasionacho.
DSM ndo kila kitu .

Jiji pekee lililotupatia msamiati "wanaume wa dar" (hawa wakisha shiba chips mayai wanaanza simuliana black panther...💪💪
 
Kuna mwaka fulani nilipanga chumba Mbagala.
Aisee....kweli Dar ni kitonga.
Asubuhi napiga zangu skonzi 3 sh 300 na chai sh 100
Mchana napiga ugali 500 na utumbo wa kuku wa 300 na maji ya kunywa glasi 100
Usiku naenda pale stand Rangi tatu napiga wali harage na samaki kwa 1500 na maji ya uhai ya 500

Nikifika kitandani napiga hesabu jumla nimetumia sh 3300/=

Asubuhi Aluta Continua.

Siku nikipewa ofa naagiza kuku nusu, nusu nakula, nusu nafunga....naenda kuunga mchuzi nyumbani wa mchana na usiku.

Afu ndo mtu ananiambia nihame Dar.
Tutabanana hapahapa.
We ukila kuku nusu...nami nikila miguu na vichwa, wote tumemla kuku.
Ladha ileile.
[emoji1][emoji1]
 
Mji huu kila kitu ni pesa, hakuna kinachotupwa. Nenda Mwanza ukaanze biashara ya kuuza utumbo wa kuku uone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom