Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

Kimanga hapana tofauti na afghanistani maana kuna kikundi cha wahuni hapo wanajiita taleban
Hao taleban nakumbuka kuna siku walimvamia mtu mchana kweupe wakampola na kumjeruhi watu walikua wanaangalia tu
Nilishangaa sana
 
Kitu kimoja ninachojiuliza kila siku ni tunatumia fedha nyingi kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Hawa kazi zao ni zipi? Kwanini kila mtaa usiweke utaratibu wa usalama kwa makubaliano na wakazi wa maeneo hayo? Ilipaswa tukio linapotokea mtaa fulani viongozi wa serikali za mitaa wahojiwe ili kueleza hatua wanazochukua kiusalama. Kama mtaa unakuwa na rekodi za uhalifu mfululizo viongozi husika wachukuliwe hatua kwa uzembe kama hawana sababu za msingi. Sungusungu ilirejee badala ya kutegemea Polisi ambao hawawezi kulinda mitaa yote.
Mawazo bora kabisa mkuu!
 
Hao taleban nakumbuka kuna siku walimvamia mtu mchana kweupe wakampola na kumjeruhi watu walikua wanaangalia tu
Nilishangaa sana
Hao jamaa hawafai kuna rafiki zangu nao ni wana kikundi hicho yani wakitaka kumpora mtu dk zero tu wanabeba vyao
 
~~~>>>Pole sana ndugu!

Hapo Kamata kuna Bonde unashuka unavuka Reli kuelekea Keko Mwanga..

Kuna siku walinikosa kosa kunirejesha kwa muumba... Sitakaa nisahau siku hiyo.
 
Rrondo SA kuna gangster fight ambayo katika hiyo miji yote uliyotaja wapo na wanapewa namba zao 26,27 na 28 na ndio wana deal na kuuza nyunga ,wapo PAGAD huko Cape Town na transit Robbery kwa ajili ya Magari yanayosafisha fedha nyingi,wapo wezi wa Magari kwenye mataa free way nyingi zina ulinzi sana...Mimi mnunuzi wa bidhaa SA au yeyote tupo busy Kerk Street na kwa Wachina robbery zao hawadeal na Wageni kama robbery zao zingekua kama kwetu watu wangeanzia kuibiwa Border zote maana wageni wanaingia na USD na kila siku mabus na private car za kutosha zinaingia Jozzi kwa ajili ya shopping...kiwango kikubwa cha mauaji ni gangster fight kila siku wanauana huko cape kuna cross road hapo ni hatari sana Guguletu na huko Hanover park kuna East na west Side...na kuibiwa SA ni mchongo wakati bongo hata bila mchongo jamaa wakikutamani una mpunga muda huo huo wanakuua na kuondoka na mpunga...
 
Aisee hii kitu ilitutokea kitunda, vijana k10 wenye mapanga, wa4 nje sita ndan, ..walisearch room moja moja, wakiona nguo handbag na chochote knachowafaa wanabeba...Banat nzur mm ni ke walinipiga na mabapa tu mwil ukawa umevilia damu, wanaume walichezea panga kwenye makali,wakabeba TV,PlayStation ,radio na vtu vdogo vdogo..cjui ata wanafunguaje geti ila mlango waliuvunja.....tulipiga kelele lakn wapi hawakuogopa
 
Rrondo SA kuna gangster fight ambayo katika hiyo miji yote uliyotaja wapo na wanapewa namba zao 26,27 na 28 na ndio wana deal na kuuza nyunga ,wapo PAGAD huko Cape Town na transit Robbery kwa ajili ya Magari yanayosafisha fedha nyingi,wapo wezi wa Magari kwenye mataa free way nyingi zina ulinzi sana...Mimi mnunuzi wa bidhaa SA au yeyote tupo busy Kerk Street na kwa Wachina robbery zao hawadeal na Wageni kama robbery zao zingekua kama kwetu watu wangeanzia kuibiwa Border zote maana wageni wanaingia na USD na kila siku mabus na private car za kutosha zinaingia Jozzi kwa ajili ya shopping...kiwango kikubwa cha mauaji ni gangster fight kila siku wanauana huko cape kuna cross road hapo ni hatari sana Guguletu na huko Hanover park kuna East na west Side...na kuibiwa SA ni mchongo wakati bongo hata bila mchongo jamaa wakikutamani una mpunga muda huo huo wanakuua na kuondoka na mpunga...
Kwahio hayo yote uliyosema yanaiondoa SA na miji yake kuwa hatari. Crime rate sio hisia zako wala zangu. Ni facts zibazotakana na uhalifu. Hayo yote ulioorodhesha ni crimes kubwa na zinaifanya SA na miji yake kuwa hatari kuliko Tz
 
Leo mhasibu nimesikia kaokotwa baharini Dar ipo salama endelea kukariri Mkuu
 
Back
Top Bottom